Thread zangu hazichangiwi

Bundajo

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
244
47
Nina balaa gani kiumbe cha Mungu miee manake kila thread ninayoanzisha inaishia kupotezewa tu? Mweeee
 
''Sio lazima wote tuimbe wengine inatosha kuwa wasikilizaji''...Afande Sele (Ni Mtazamo)..
Pole baba/mama...
 
Pole sana...tumia staili ya wanamuziki wa kikongo na muziki wa dance kwa kutaja taja majina ya member waandamizi,mfano papaaa Rev Masanilo, wapi Saint mutoto ya fulani...na wengine na wengine na eventually utabuy tention yao! Regards!
 
nimeipenda hii,halafu aache malalamiko mbona hii tunachangia jamani,
 
Pole sana...tumia staili ya wanamuziki wa kikongo na muziki wa dance kwa kutaja taja majina ya member waandamizi,mfano papaaa Rev Masanilo, wapi Saint mutoto ya fulani...na wengine na wengine na eventually utabuy tention yao! Regards!

Eyooo wapi papaa Masanilo.......
Wapi mamaa AshaDiiii........
Wapi mamaaaa FaizaFoxy.......
Wapi mkuu Invisible..........
Mamaaa Mamdenyi upoo......
Papaa Mwita25 jeeeee.......
 
Ha ha ha ha ha ha nimegundua leo asubuhi. Kweli JF haina upendeleo.
 
daahhhh Acha fujo basi..

anyway : KARIBU

halafu una thread mbili tu ulizo anzisha

https://www.jamiiforums.com/complaints-congrats-advice/190525-mchaga25-na-mwita25.html ( Mchaga25 na Mwita25)

na ya pili ndo hii ya leo..

https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/190661-thread-zangu-hazichangiwi.html ( Thread zangu hazichangiwi)

usema ukweli hauna topic ya maana uliyoanzisha..
kama ukianzisha topic yenye kuvutia au topic fulani
inayohusiana na maisha ya kila siku hata ukiweka picha tu
au utani utapata wachangiaji wengi tu ...

tulia acha papara..
asante na karibu tena..
 
Nisaidieni wakuu na mimi nijulikane. Mweeeee
Bundaja, kumbe lengo la hizo thread zako ambazo hazikuchangiww likikuwa ni kujulikana!.

Kama ni kweli umejiunga jana, ulikuwa hujui utoke vipi. Basi kupitia thead hii umeshatoka, utajulikana sana tuu!, then what next?.
 
Naona hii thread yangu imeanza kuchangiwa. Asante Mungu mieee
 
Bundaja, kumbe lengo la hizo thread zako ambazo hazikuchangiww likikuwa ni kujulikana!.

Kama ni kweli umejiunga jana, ulikuwa hujui utoke vipi. Basi kupitia thead hii umeshatoka, utajulikana sana tuu!, then what next?.

kinachofuata ni kutafuta marafiki hapa JF.
 
daahhhh Acha fujo basi..

anyway : KARIBU

halafu una thread mbili tu ulizo anzisha

https://www.jamiiforums.com/complaints-congrats-advice/190525-mchaga25-na-mwita25.html ( Mchaga25 na Mwita25)

na ya pili ndo hii ya leo..

https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/190661-thread-zangu-hazichangiwi.html ( Thread zangu hazichangiwi)

usema ukweli hauna topic ya maana uliyoanzisha..
kama ukianzisha topic yenye kuvutia au topic fulani
inayohusiana na maisha ya kila siku hata ukiweka picha tu
au utani utapata wachangiaji wengi tu ...

tulia acha papara..
asante na karibu tena..
Afrodenzi, asante kwa hii, kumbe siku hizi jf ni popular kihivi mpaka mtu anajiunga na kupost utumbo ili tuu ajulikane!. Tunapiga hatua!.
 
Back
Top Bottom