Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,639
hapana sio she labda kama anajinsia mbili SHE NA HE
Duh! Yaani huyu Kongosho ninaemjua na vibweka vyake. Kumbe SHE.
Yah umemdhalilisha sana Kongosho....hapo alikuwa anamsemea mtu tu na si km unavyodhani
eti wewe ni KE au MEHe he he he, broda has it eaten your side?
Nimeishia tu kuhuzunishwa na hiyo story, hayo mengine utajuana na kongosho..
Umeonae V eeh?...Heheheheh aaaafu weeewe bwana... Hata mimi hako kamkasa kameniuma kama nini,.,. Ila kesi yao yakijinsia wamalizane wenyeeewe..
Nyie mnahaha mbona mwenzenu theboss anajua kuwa ni she.
Afu simwoni, umempeleka wapi?