Thread iniliyonisaidia kujua jinisia ya Kongosho

Lucas

JF-Expert Member
Dec 3, 2011
2,457
1,108
Dada yangu Kongosho habari?

Kwanza hongera kwa kutimiza mwaka ukiwa JF. Leo naomba niwasaidie wengine ambao wamekuwa na maswali meeeeeeeeengi juu ya dada Kongosho.... hii thread https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/185106-kupendwa-na-usiyempenda.html ilinisaidia sana kujua kumbe Kongosho ni she! ndio maana sina maswali mengi na wewe. nimeona niwasaidie wasiojua hilo. ukitoa turubai niambie na mie nije kukupongeza.

Sizayo, SS

user-online.png
Kongosho

23rd October 2011 11:07
#1
JF Premium MemberArray


Join Date : 21st March 2011
Location : Location loading...
Posts : 9,240
Rep Power : 2979
Likes Received3316Likes Given1782​


[h=2]
icon1.png
Kupendwa na usiyempenda .....!![/h]
naomba ni-share na wanajamvi hiki kisa kinachonitesa kwa saa...
Hapo zamani za mwaka 1998 nikiwa nimemaliza fom 4 alitokea kijana mmoja akaniambia ananipenda, let me call him mr. X, wakati huo na yy alikuwa amemaliza fom 4. Tulisoma wote kuanzia darasa la kwanza alipofika la 5 akahamia bongo hadi aliporudi tukiwa tumemaliza fom 4 na straight akaniambia ananipenda. Nilimkataa sababu sikuwa tayari kuwa na mahusiano, nikaenda high school mkoa mwingine na yy akaenda shule lakini he kept in touch na kipindi hicho ilikuwa ni barua. Nikamaliza high school lakini yy ilibidi arudie mwaka lakini alijitahiti sana kurudi mkoani toka dar just to say hello to me.
Mie niliendelea chuo kikuu lakini kila siku alikuwa akiniambia how much he loved na ni kweli nilijua fika ananipenda lakini mie nilimwona as a friend and brother. Baadya ya kufika chuo nilipata kamjaa nikakapenda hadi tukapata mtoto na baadae tukaachana mwaka 2008. Mr hakujali akaniambia mie bado nakupenda mtoto so hoja, still sikuweza kumkubali. Baada ya masomo nilipata kazi dar nikamia hapa na yy akarudi mkoani tulikotoka ila mara kwa alikuja dar na kunitafuta na tulikuwa tunawasiliana almost kila siku. Mwaka jana akaniuliza kwani yy anatatizo gani for 11 years amekuwa akiniambia ananipenda na nimemkataa, na jibu langu ilikuwa nampenda as a friend and a brother. Na kweli nilikuwa nampenda sana japo sio kimahusiano ya mapenzi. Na nilikuwa nikienda kuona wazazi mkoa kitu cha kwanza ilikuwa ni kumtafuta kokote alipo, hiki kitu kilikuwa kinamuudhi sana mama yangu maana alikuwa akisema unakuja home hata kula huli unaenda kwa mr x akati sie tumekuandalia rasmi.
Mwaka huu mwezi wa 4 alipata misukosuko ambayo akashindwa kuibeba emotionaly sababu alinipigia akaniambia moyo umamwenda mbio for almost 2weeks, mie nikajua ni mshtuko wa yaliyompata na time will heel him. Kwa almost 8days nikawa sijampigia sababu ya kubanwa na majukumu and then 26 may night almost saa nne nikapokea sms toka kwake akiniambia kalazwa ghafla siku hiyo. Kwenye saa nne na robo usiku nikampigia japo hakuweza kuongea sana nikamwambia ntakupigia kesho pumzika wa sasa. And then mie nikalala, kesho yake asubuhi sana naambiwa he is no more, i almost fainted.
I felt guility maana ni kama vile alinifanyia 'I wont forget you even on my dying bed' maana alifariki saa tano na nusu usiku the same day.
Had leo inaniumiza sana nashindwa kujisamehe kwa kutompenda. One week ago nimeota tumeonana akawa anataka kunipelewa mahali nikamwambia ngoja nijiandae kabla sijamaliza kujiandaa nikaamka. Kumwambia dada angu akaniambia nimkemee sana sio vizuri ndoto za aina hii.
Jamani ukimpenda mtu akasema hakupendi elewa, just understand, it happen​


 
Nilikuwa mbioni kutangaza ndoa nae.sema kuna makosa ya kiufundi yalitokea.nikabwagwa.

Kongosho ni mdada wa haja.
 
shauri yako Saint,mwenzio Konnie anatembeaga na kopo la vaseline,we jishebedue tu, utajiju!
 
Kwa Aspirin? hilo mbona mie nililijua long ago! ila leo nimeona niwasaidie baadhi wasiojua!!

Nani kawapa mamlaka ya kumdiskasi demu wangu Kongosho bila ridhaa yangu na familia yangu. Someone is going to be killed kabla jua halijazama. Kongosho asali ya ODM come this way darling. na kale kachupi kako tafazali.
 
Jamani jamani ...

What a sad story umeitoa hiyo Smiling Saint? Eeh..?

Wajua anaweza kuwa katika hali gani akiingia kwenye huu uzi wako?

Konnie.. You are my JF Best Intertainer of all times!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom