Thread iniliyonisaidia kujua jinisia ya Kongosho

Yaani ni kama kuulizia migodi Geita...... sasa hapo tayari halafu watu hawaamini!! BTW sikuwa na nia ya kumdhalilisha dada yangu bali nilitaka tu niwasaidie wenye utata juu ya hilo.

To babu ODm, hata mimi nampenda dadas yangu Kongosho
 
Yaani ni kama kuulizia migodi Geita...... sasa hapo tayari halafu watu hawaamini!! BTW sikuwa na nia ya kumdhalilisha dada yangu bali nilitaka tu niwasaidie wenye utata juu ya hilo.

To babu ODm, hata mimi nampenda dada yangu Kongosho
 
Nimeishia tu kuhuzunishwa na hiyo story, hayo mengine utajuana na kongosho..
 
Me nilikuwa Najuwa kitambo 2(kwenye ID nyingine siyo hii)kuwa akijisaidia aja ndogo anachuchumaa,Mx
 
Nimeishia tu kuhuzunishwa na hiyo story, hayo mengine utajuana na kongosho..

Heheheheh aaaafu weeewe bwana... Hata mimi hako kamkasa kameniuma kama nini,.,. Ila kesi yao yakijinsia wamalizane wenyeeewe..
 
Hakuna ushahidi wa moja kwa moja kama hiyo simulizi inamhusu yeye moja kwa moja au amekopi na kupest hapa, just to entertain, Jinsia ya huyu member bado inachenga chenga...hata post zake haziegemei me. au ke. sasa hapo utasemaje Kongosho ni Ke?
 
Kuna ushahidi mwingine ktk post yake fulani hivi alisema atavaa 'dela' lakn siikumbuki ni thread gani? Huenda ikawa ile ya ndoa ya jg & husn. Ingawa bado kuhusu suala hili ajuae ukweli ni yeye mwenyewe tu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom