Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 40,000
naomba niulize swali la kizushi; endapo limetokea janga la njaa na wananchi wanakufa njaa, halafu serikali inasikia kuwa kuna mfanyabiashara amekusanya chakula kwa maelfu ya tani kwenye ghala zake na hataki kuuza wala kugawa bali anataka kusubiria bei nzuri (hoarding), je serikali ifanye nini?
a. Iendelee kumbembeleza wakati wananchi wake wanakufa kwa njaa
b. Isubiri huruma yake
c. Itumie nguvu yake ya kisheria kuchukua vitu hivyo na kusaidia wenye njaa?
d. Iache wananchi wafe na isiingilie biashara kwa sababu huo ndio ubepari vinginevyo itatishia wawekezaji?