Theluji Yaipiga sehemu kubwa za Uingereza; zaidi ya shule 100 zimefungwa, usumbufu wa usafiri unatarajiwa

Makamura

JF-Expert Member
May 19, 2022
356
550
Yellow Weather imekuwa ikitoa tahadhari ya hali ya baridi kati katia maeneo ya Uingereza. Usiku wa kuamkia leo Hali joto ilishuka sanaa chini ya Nyuzi joto za Barafu na kusababisha baridi kali sanaa na Barafu kushika katika Miji mingi ambayo imepelekea barabara Kufunikwa kwa Theluji na kuleta atha na tabu ya kupitika.

skynews-weather-snow_6423173.jpg
 
Back
Top Bottom