The Zitto saga: Vyombo vya habari vinaiua CHADEMA?

Status
Not open for further replies.
Kubenea sasa amegeuka sumu eeehhh? Muwandishi ambae hana credebility za uandishi, vyanzo vyake vyote ni vyakusadikika nyinyi mkamuona hero.

Tatizo wengi wa washabiki wa huu ujinga ni wale ambao hawakufuatilia kwa karibu siasa za 2000 - 2005 ambazo watu aina za kuebena ambao mimi nilliwaita WAHANDISI WA HABARI walikuwa wengi na matunda yake tunayala sasa........Anyway, u cant expect much from the citizenry ambayo muda wote huchanganya Uanasiasa na political expediency......no wonder wamekuwa mabingwa wa kukumbatia visivyokumbatika.....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom