hatari yake ni balaa..speed yake ni hatari
hatari yake ni balaa..
Balaa lake ni majanga
kidogo wapi mkuu? Bongo hatuna cha kujivunia ktk maeneo hayo
Makubwa sio kidogo
kidogo kidogo ndio wao walianza hata cc 2takuja kufika huko ingawaje 2takuwa 2mechelewa sana.Hahahaha! Hakuna marefu yasiyo na ncha, akpatkana wakuendeleza hapa natoa dau la buku 2(vocha)
hahahaa...hivi upo kwenye treni ya umeme ushakata tiketi unaenda moro unafika mbezi tu umeme umekatika (mgao hadi saa 11 jion) na ndo kwanza saa mbili na nusu hiyo umetoka stesheni....tehetehe...hadi raha!!Si zinatumia umeme hizo?
Hapa home ikiletwa moja tu ikawekwa Dar, mgao wa umeme utahusika hadi Lindi...
Sie tuendelee na hili liki berenge la makaa ya mawe
Hahahaha! Hakuna marefu yasiyo na ncha, akpatkana wakuendeleza hapa natoa dau la buku 2(vocha)