Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 19,696
- 59,856
BWANA WETU YESU KRISTO ASIFIWE.
Ninaendelea kutoa taarifa za kiuchunguzi za kina kuhusu dunia yetu hii. Kwa muda wa wiki mbili nilikuwa katika utafiti kuhusu High-Speed Train.
High-Speed Train ni nini?
Hii ni train inayokimbia kwa mwendo wa kuanzia 200 km/h (124 mph). Train ikiwa na mwendo huu au zaidi ndio inaingia katika kundi la High-Speed train.
Unaweza ukapitia hapa ili uweze kujua zaidi
Nimefanya utafiti wangu wa kina na kuja kugundua kuwa China ndio nchi inayoongoza duniani kwa kuwa na Rail ndefu inayopitisha high-speed train.
Mwaka huu China wamekamilisha ujenzi mwingine wa High-Speed Train railway na kufikisha urefu wa 42,000km. Huku ujenzi wa 28,000km unaendelea.
Unaweza ukasoma Taarifa zaidi hapa:-
STATISTICAL INFORMATION
Kwa mujibu wa takwimu sahihi kabisa kwa sasa dunia yote ipo na High-Speed train zenye urefu wa 70,145km Hizi hapa chini ni nchi 10 zenye high-speed train ndefu duniani.
Unaweza ukapata taarifa zaidi hapa
KUHUSU USA
Mpaka sasa 2023 Marekani ipo na 735km za High-Speed Train. Wapo na mpango wa kujenga 1,789.3 km.
Kama ilivyo kawaida nitaendelea kutoa taarifa nyingi zaidi na majina ya Railway na urefu wake.
Karibuni tujadili kwa kina huku tukiweka references na evidences
Ninaendelea kutoa taarifa za kiuchunguzi za kina kuhusu dunia yetu hii. Kwa muda wa wiki mbili nilikuwa katika utafiti kuhusu High-Speed Train.
High-Speed Train ni nini?
Hii ni train inayokimbia kwa mwendo wa kuanzia 200 km/h (124 mph). Train ikiwa na mwendo huu au zaidi ndio inaingia katika kundi la High-Speed train.
Unaweza ukapitia hapa ili uweze kujua zaidi
General definitions of highspeed - UIC - International Union of Railways
We have deliberately used the word “definition” in the plural because there is no single standard definition of high speed rail (nor even a (...)
web.archive.org
Mwaka huu China wamekamilisha ujenzi mwingine wa High-Speed Train railway na kufikisha urefu wa 42,000km. Huku ujenzi wa 28,000km unaendelea.
Unaweza ukasoma Taarifa zaidi hapa:-
China opens 4100km of new railway
China opened 4100km of new railway in 2022, including 2082km of high-speed lines, according to China Railways (CR) president, Mr Liu Zhenfang.
www.railjournal.com
STATISTICAL INFORMATION
Kwa mujibu wa takwimu sahihi kabisa kwa sasa dunia yote ipo na High-Speed train zenye urefu wa 70,145km Hizi hapa chini ni nchi 10 zenye high-speed train ndefu duniani.
No. | Country | In Operational(km) | Under construction(km) | Total |
1 | China | 42,000.00 | 28,000.00 | 70,000.00 |
2 | Spain | 4,327.10 | 1,378.00 | 5,705.10 |
3 | France | 3,978.00 | 560.10 | 4,538.10 |
4 | Germany | 3,516.00 | 3,261.98 | 6,777.98 |
5 | Japan | 2,727.00 | 591.10 | 3,318.10 |
6 | Italy | 2,017.70 | 965.24 | 2,982.94 |
7 | United Kingdom | 1,927.70 | 113.000 | 2,040.70 |
8 | South Korea | 1,283.40 | 660.90 | 1,944.30 |
9 | Turkey | 1,117.00 | 102.00 | 1,219.00 |
10 | Finland | 1,100.00 | 1,120.00 | 2,220.00 |
Intercity and High-Speed – UIC - International union of railways
UIC HIGH-SPEED 2023, Morocco The World Congress on High–Speed Rail Theme: High-Speed Rail: The Right Speed for our Planet UIC HIGH-SPEED 2023 website: https://uichighspeed.org High-Speed rail A…
uic.org
Mpaka sasa 2023 Marekani ipo na 735km za High-Speed Train. Wapo na mpango wa kujenga 1,789.3 km.
Kama ilivyo kawaida nitaendelea kutoa taarifa nyingi zaidi na majina ya Railway na urefu wake.
Karibuni tujadili kwa kina huku tukiweka references na evidences
KWA JINA LA BABA, LA MWANA NA LA ROHO MTAKATIFU
AMEN
AMEN