Ndugu siyo kuleta amani tu!! Kwa taarifa marekani haijawahi kushinda vita mahala popote!! Mtashangaa lakini ndiyo hivyo
Hapo umenena Michelle, tunaona sifa viongozi wetu wanapopongezwa na hao jamaa, tunakalia kusema watu wanatubeza hapa ndani as if hawayaoni maendeleo mbona USA et al, wameyaona na kutupatia tuzo etc , lakini siku mkibadilisha hiyo mikataba mitaa yetu itakuwa haikaliki tena , lakini pamoja na machungu hayo lazima tufike sehemu tuseme NO , na tuelekee njia tunayoona inatufaa."Well, we're in Libya because of oil. And I think both Japan and the nuclear technology and Libya and this dependence that we have upon imported oil have both once again highlighted the need for the United States to have a renewable energy agenda going forward," Rep. Ed Markey (D-MA) said on MSNBC.
www.realclearpolitics.com
Mzee mzima kaamua kuwa wazi kabisa kuwa hakuna cha Humanitarian Concerns wala cha democracy in Libya....its OIL that they want.hakuna shida na binadamu wa Libya,wapo Somalia,wapo Yemen,Ivory Coast wanaouawa.....Libya tuko kwa ajili ya kupata mafuta.....hii inaonyesha Gadafi asingekuwa kawabania hizo nchi zinazompiga kupitia mgongo wa UN, wala wasingekuwa na shida nae.....ngoja siku tutake kubadilisha/tuvunje mikataba mibovu tuliyosaini nao ya madini,muone rangi zao nzuri!
Kuna watu wanafikiri wazungu wanawapenda sana kuja kuwaletea demokrasia,wamewazaa nyie? wako hapa kwa interest zao....nashukuru mzee aliyesema haya katoka chama cha Democrat anakotoka Obama,angekuwa katoka Republican tungesema ni siasa za kuchafuana.:angry:
Kweli michelle hawa wazungu wanatuzingua sana...wana msemo wao Nothing goes for Nothing....
Hapo umenena Michelle, tunaona sifa viongozi wetu wanapopongezwa na hao jamaa, tunakalia kusema watu wanatubeza hapa ndani as if hawayaoni maendeleo mbona USA et al, wameyaona na kutupatia tuzo etc , lakini siku mkibadilisha hiyo mikataba mitaa yetu itakuwa haikaliki tena , lakini pamoja na machungu hayo lazima tufike sehemu tuseme NO , na tuelekee njia tunayoona inatufaa.
* There is no doubt Ghaddafi messed up and gave the West the opportunity to hijack Libya
* There is no doubt that Ghaddafi must not continue as the Leader of Libya, he has long overstayed his welcome
Look around the world, where has the military intervention of US, Britain and Co. brought a government truly representative of the people? Is it Iraq? Afghanistan? Congo? Sudan?
Behind every international move, there are resource and economic issues involved. US had lobbied ECOWAS to go to Ivory Coast, but is in very eager to handle Libya. Why did they not deploy to Ivory Coast or are the people there not humans. No country spends her tax payers money intervening in conflicts where there is nothing to benefit her citizens. Greed is not just in Africa, white men can be greedy and evil too. Nimesoma kwenye International Relations and Diplomacy,Maslahi ya Taifa lazima yapate Backup kwa kutumia Diplomacy with a millitary background whenever necessary
Hapo ndio hawa mabeberu wanapotuzidi.....kwao cha kwanza kabisa ni maslahi ya nchi zao mengine ndio yanafuata.
Qatar and UAE wamekosa mafuta.
Bosnia utasema (Amerika) alifwata nini?????
Wanachonifurahisha kwa maslahi wanayotaka kwanza ni ya nchi sio ya watu binafsi kama sisi.
du policy tena
Gadaff sio wa kuonewa huruma hata kidogo,he dont have place in civillized world
Waacheni wamarekani, hata comment yako hii hawatasoma na utapoteza muda bure, kama vipi kavae bomu kajilipue kama wenzako wanavyofanya.
Unataka humu tuseme nini, walipiga iraq, afghan, wanapiga libya na watafanya hivyo popote pale wakitaka.
Libya gafadi anachofanya sidhani kama utaingiza udini hapo, wanaouawa ni wenzako wa dini yako.
Kesho na sisi Tanzania tukiwa superpower tunaamua lolote, hakuna wa kumzuia mmarekani , kwa hiyo kunywa coca, sikiliza mziki acha pressure utakufa bure, wameshindwa iran uje wewe! DUA ZA KUKU!
I hate USA too, what should I do, to curse them??
zenji si kuna mafuta ... mbona hwavamii...?