The West Policy on Libya Vs Putin

Uchaguzi 2012 kazi ipo and i guess Obama anaweza kuwa na wakati mgumu

ana wakati mgumu....mbona muda mrefu tu washatabiri wamarekani wenyewe kuwa he will be a one term president.....mi hata wakimu impeach sasa sioni tatizo :smash:
 
In American elections foreign policy is hardly ever an issue....

It's the economy...if the unemployment rate remains high then he best believe he'll be a one term president. So for now it's hard to say much about his re-election chances because for one, his opponent in the GOP is not even known. Second, him as an incumbent he already has an advantage and it is very hard to beat an incumbent US president...and third, the election is still a year and some months out and that is more than a lifetime in American politics.
 
Kamundu naona unaendelea kupasua jipu..Tatizo wengi hatupendi kuambiwa ukweli..tukiongozwa na raisi wetu..ukweli siku zote unauma
 
Mimi siyo kwamba nasifia lakini nasema ukweli tu. Hata Waafrica ni waoga tu, ni mpaka wakasirike ndiyo wanauana! Waafrica tunafanya uamuzi kwenye hasira. Inabidi tuangalie dunia inaendaje lakini Marekali kwa haki za binadamu ni bora kuliko China na Urusi.

Heri hata US kuliko hizo nchi kama China na Russia ambazo ikitokea issue kama ya Libya zinakuwa mabubu na kutokuwa na msimamo wowote.
 
Ni kawaida wana jamvi kuwaunderestimate Waingereza ambao walitawala ulimwengu mzima pamoja na hao USA wenyewe. UK wana manowari pale mediteranian vile vile ndege zao zipo kwenye mapigano sasa sijui mleta habari anaongelea kitu gani. Anasema Ulaya unaposema Ulaya kuna nchi na iliyo kwenye mstari wa mbele ni UK ukitilia maanani ndio waliowapiga Italians na Germans kwenye second world war kwa ushirika wake na USA.
 
Yani dogo huyo Obama anaimba na hio ndo inapotezea heshima sasa duniani. Matatizo hajui history z anchi za kiarabu, angejua asinge ingia.

I belive Ghadafi will win, american will most probably fail again.

Over the longer term kama unatumia akili vizuri, Ghadaffi atashinda mana dalili inaonyesha vile, na ikianza vita vya ndan tu, kumbukeni Gadhafi's superior weapons and better trained troops.

Mana hao hawawezi vita vya mda mrefu na Ghadaffi si mjinga kiasi vile atao silaha zote zote katika open area.

Yani huyo dogo obama asahau kupita mwaka 2012![/QUOTE]

Itategemea atasimama na nani toka GOP. So far list wa GOP candidates wote hakuna wa kum-beat Obama. May be kidogoo Romney.
Tulisema in 2004 Bush asingepita sababu alivamia Iraq na Afghanistan..huyooooo akapeta. So kitakachomwokoa Obama ni hiyo list ya weak GOP presidental nominees na kama uchumi utaendelea kukua.
 
Mr obama yuko blinded na ambition,ole wake...Gadafi kajenga Libya kuliko nchi yoyote ya kiafrika ....Afrika ya kusini ni kazi kubwa ya makaburu waliodhani wangedumu milele...Km Marekani ni watu wa haki kwanza kwanini wasireform nchi yao na bara lao ikiwezekana kabla hawajatuvurugia Africa inayochechemea? Wajaribu Cuba,Venezuela na Iran!
 
Nasikitika tunashabikia ubeberu wa wamarekani kama vile timu ya mpira. Wanachofanya ni mauaji ya waAfrika kwa manufaa ya makampuni ya mafuta ya wamarekani kuwafaidia wamarekani. Haya twapaswa kuyaona kwa macho makini. Mubaraka mbona hawakusaidia kumuondoa japo wapinzani walipigwa risasi wazi mitaani na CNN ikarusha picha hizo? Mbona hukusikia wamemzuilia Mubaraka kusafiri wala kuzuia mali zake? Na mabomu ya kutawanya waandamanaji yalikuwa ya wamarekani. Na bila aibu wakawa wanasema twapaswa kuwa makini na power vacuum. Leo Libya imehalalishwaje? Mbona Yeme hawajafika? Ubabe wa wamarekani siyo wa kushangilia wandugu. Nia yao wamiliki maliasili zetu zote na watutumikishe wapendavyo. Pamoja na ubaya wa Ghadafi bado zipo taratibu za kimataifa zinazopaswa kufuatwa na hazikufuatwa hapa. Walichofanya ni kuitukana mpaka AU na nashangaa viongozi kama wapo wamekaa kimya kuruhusu wakati nchi mwanachama imevamiwa bila ridhaa yao. Hatuko salama hapa.


Mkuu comment yako ni nzuri, ila hapo penye nyekundu ndio pana makosa makubwa...:smash:
 
Mr obama yuko blinded na ambition,ole wake...Gadafi kajenga Libya kuliko nchi yoyote ya kiafrika ....Afrika ya kusini ni kazi kubwa ya makaburu waliodhani wangedumu milele...Km Marekani ni watu wa haki kwanza kwanini wasireform nchi yao na bara lao ikiwezekana kabla hawajatuvurugia Africa inayochechemea? Wajaribu Cuba,Venezuela na Iran![/QUOTE]

Umeshafika (Tripoli) Libya ama unakusikia tu? Sahihisha hapo.

Hao Cuba, China, Russia, Chavez ama Iran ningewaona wa maana kama wangepeleka midege na manowari kumzuia US, UK na hao washirika zao. Lakini ndio wamegeuka mabubu na hawajali
 
Ulaya na China hawataweza kuwa super power kwasababu moja tu hawapendi na hawajui kupigana. Nchi za ulaya zimepiga kampeni ya kumpindua Ghadafi na wenyewe walikuwa mstari wa mbele lakini sasa umekuja wakati wa kupigana na mabomu wanataka kumwachia Mmarekani mwenyewe!. Obama hakutaka hata kuingia kwenye vita lakini alikuwa ana unga mkono Ghadafi kuondoka. China wenyewe hawapendi fujo wanataka vitu viende kama vilivyo hata kama ni Kiongozi anaua watu wake China haiwezi kupinga. Hawa wote China na nchi za ulaya wana vifaa vya kijeshi lakini tatizo sio vifaa kama hutaweza kupigana hasa pale unapofikiri ni lazima!. Marekani wasemeni tu lakini kama wanaamini kitu wanaweka maisha yao na si kuongea siasa nenda rudi. Ulaya iko dhaifu sana na miaka ijayo hata Africa inaweza kuichukua Ulaya ukizingatia idadi kubwa ya watu wanaoishi huko ni wazee. Marekani inatawala kijeshi Japan, Korea ya Kusini, Iraq, Israel, Saudi Arabia, Afighan, Pakistan, Bahrain, Egypt na German.Mimi navyoona Marekani nguvu zinaongezeka na hazipungui kama watu wanavyofikiria. Obama anasikilizwa Japan sasa wakati wa tetemeko kuliko waziri mkuu wa Japan na anaaminika south Korea kuliko kiongozi wao.

Acha hizo bwana mkubwa, mbona sisi huku San Marino tushatuma ndege 100?
 
Ndugu siyo kuleta amani tu!! Kwa taarifa marekani haijawahi kushinda vita mahala popote!! Mtashangaa lakini ndiyo hivyo
nazani unashindwa kujua aina za ushindi-marecan wao wanaconsider tactical victory tu-si ushind kama huu wa vita ya kagera-wao wakisha aim sehemu zao za kupiga ambazo zitawapa wao advantage-basi wanakuwa washakurudisha nyuma umbali wa kutosha
 
In American elections foreign policy is hardly ever an issue....

It's the economy...if the unemployment rate remains high then he best believe he'll be a one term president. So for now it's hard to say much about his re-election chances because for one, his opponent in the GOP is not even known. Second, him as an incumbent he already has an advantage and it is very hard to beat an incumbent US president...and third, the election is still a year and some months out and that is more than a lifetime in American politics.

Mkuu, Good analysis. Sounds like you live not far from the Beltways!
 
ana wakati mgumu....mbona muda mrefu tu washatabiri wamarekani wenyewe kuwa he will be a one term president.....mi hata wakimu impeach sasa sioni tatizo :smash:
tusiwasemee wamarecan-ngoja ifike then tutaona itakavyokuwa-politics huwa haztabiriki-inawezekana hayo ni maneno ya mtaan-
 
Kama atagombea V/S Serah Palin what do you expect?
So far hakuna mtu yoyote toka GOP ambaye anaweza kumbeat Jaluo boy!!

Na kwa akili yako unafikiri watamweka Sarah Palin??? Vuvuzela na wewe,yule ni geresha tu la kisiasa hata u vice president hawampi tena!
.....wapo,sema huwajui.....hata Mitt Romney akijenga hoja na mazingira sahihi anamweka Obama kubaya.....:washing:
 
tusiwasemee wamarecan-ngoja ifike then tutaona itakavyokuwa-politics huwa haztabiriki-inawezekana hayo ni maneno ya mtaan-

aliyewasemea wamarekani ni nani?wanasema wenyewe hapa,na nimesema washatabiri sijasema itakuwa.....siasa za marekani kama za east africa zinatabirika ila marekani ukweli haupindishwi kama ilivyokuwa kwa kibaki na museven au.....nani ambaye hakujua Obama atamshinda Mccain?kama huwezi tabiri tulia tu!!
 
Na kwa akili yako unafikiri watamweka Sarah Palin??? Vuvuzela na wewe,yule ni geresha tu la kisiasa hata u vice president hawampi tena!
.....wapo,sema huwajui.....hata Mitt Romney akijenga hoja na mazingira sahihi anamweka Obama kubaya.....:washing:

The GOP nominee will most likely be a governor and governors have a pretty darn good record when they run for US president.

So don't sleep on former Minnesota governor Tim Pawlenty who just yesterday announced the formation of a presidential exploratory committee.

Then you got current Indiana governor, Mitch Daniels, another potentially formidable candidate who is rumored to be contemplating to run.

But I won't be surprised if some dark horse emerges out of nowhere to become the frontrunner. But as it stands right now there is no clear frontrunner so it's a wide open field.
 
The GOP nominee will most likely be a governor and governors have a pretty darn good record when they run for US president.

So don't sleep on former Minnesota governor Tim Pawlenty who just yesterday announced the formation of a presidential exploratory committee.

Then you got current Indiana governor, Mitch Daniels, another potentially formidable candidate who is rumored to be contemplating to run.

But I won't be surprised if some dark horse emerges out of nowhere to become the frontrunner. But as it stands right now there is no clear frontrunner so it's a wide open field.


The 2012 Republican field is deeply flawed, lacking a serious GOP contender without a personal misstep or policy move that angers the party base. Each of those weighing bids has at least one issue that looms as an obstacle to White House ambitions, and that could derail the candidate if not handled with care.
Romney, for one, has started to address his biggest policy problem: the health care plan he signed into law as Massachusetts governor, which Obama and the Democrats used as the basis for their national overhaul plan. The White House gleefully points out the similarities.
Romney also will face a repeat of the 2008 criticism that he's inauthentic, particularly after a series of reversals on gay rights and other social issues
Former Pennsylvania Sen. Rick Santorum may be dogged by his dismissal by voters in the 2006 election.
_Ex-Gov. Mike Huckabee of Arkansas faces questions about commuting the sentence of Maurice Clemmons, who in 2009 opened fire in Tacoma, Wash., and left four police officers dead.
_GOP vice presidential nominee Sarah Palin's unorthodox resignation in the middle of her first term as Alaska governor – as well as her reality show stints and her countless impolitic comments – will be certain fodder for opponents.
Pawlenty, who on Monday announced he had formed an exploratory committee, once backed climate change legislation that conservatives deride. Advisers to the former Minnesota governor know it will be a problem.
He's reversed his position on the issue, but his past words are certain to come back to haunt him
Huntsman leaves his post in April and can't say anything until then.
The governor of a Deep South state, Barbour opened himself up to criticism when he bungled questions about the Ku Klux Klan and segregation
Newt Gingrich is an adulterer on his third marriage. Tim Pawlenty is too green – environmentally, that is.
Jon Huntsman worked for President Barack Obama. And Haley Barbour has come off as dismissive of racial segregation.
CNN 03/03/2011
 
Back
Top Bottom