rosemarie
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 6,887
- 3,412
Hello people!
Naomba ieleweke wazi kabisa tuhuma zilizotolewa na Chadema zitatikisa taifa letu na kuna mabadiliko makubwa yatatokea kutokana na tuhuma hizo,kwa taarifa ni kwamba hizi tuhuma zitakwenda mbali kuliko tunavyofikiri
Naomba ieleweke wazi kabisa kuwa Kikwete hausiki kwa namna yoyote ile na tuhuma hizi yeye binafsi,nimefanya kazi na Kikwete ninamjua vizuri japo sio Adequate to accomplish a purpose by any means!
Mhusika mkuu wa tukio zima au shutuma zilizoletwa na Chadema sio mwingine bali ni Edward Lowassa,
najua kuna watu wake hapa Jf na kama mnasoma hii tuingie moja kwa moja kwenye Hoja na Evidence!
Naomba ieleweke wazi kabisa kuwa serikali ya Tanzania kwa sasa inaongozwa na Edward lowassa,na hakuna mtu au taasisi yoyote ile hapa nchini kuzuia hilo
update follow shortly