The Truth Behind The Scenes: Lowassa na Chadema!

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
Hello people!
Naomba ieleweke wazi kabisa tuhuma zilizotolewa na Chadema zitatikisa taifa letu na kuna mabadiliko makubwa yatatokea kutokana na tuhuma hizo,kwa taarifa ni kwamba hizi tuhuma zitakwenda mbali kuliko tunavyofikiri
Naomba ieleweke wazi kabisa kuwa Kikwete hausiki kwa namna yoyote ile na tuhuma hizi yeye binafsi,nimefanya kazi na Kikwete ninamjua vizuri japo sio Adequate to accomplish a purpose by any means!
Mhusika mkuu wa tukio zima au shutuma zilizoletwa na Chadema sio mwingine bali ni Edward Lowassa,
najua kuna watu wake hapa Jf na kama mnasoma hii tuingie moja kwa moja kwenye Hoja na Evidence!
Naomba ieleweke wazi kabisa kuwa serikali ya Tanzania kwa sasa inaongozwa na Edward lowassa,na hakuna mtu au taasisi yoyote ile hapa nchini kuzuia hilo

update follow shortly

Hello people!
Naomba ieleweke wazi kabisa tuhuma zilizotolewa na Chadema zitatikisa taifa letu na kuna mabadiliko makubwa yatatokea kutokana na tuhuma hizo,kwa taarifa ni kwamba hizi tuhuma zitakwenda mbali kuliko tunavyofikiri
Naomba ieleweke wazi kabisa kuwa Kikwete hausiki kwa namna yoyote ile na tuhuma hizi yeye binafsi,nimefanya kazi na Kikwete ninamjua vizuri japo sio Adequate to accomplish a purpose by any means!
Mhusika mkuu wa tukio zima au shutuma zilizoletwa na Chadema sio mwingine bali ni Edward Lowassa,
najua kuna watu wake hapa Jf na kama mnasoma hii tuingie moja kwa moja kwenye Hoja na Evidence!
Naomba ieleweke wazi kabisa kuwa
serikali ya Tanzania kwa sasa inaongozwa na Edward lowassa,na hakuna mtu au taasisi yoyote ile hapa nchini kuzuia hilo

update follow shortly

kwa vigezo gani???..
 
Naomba ieleweke wazi kabisa kuwa Kikwete hausiki kwa namna yoyote ile na tuhuma hizi yeye binafsi,nimefanya kazi na Kikwete ninamjua vizuri japo sio Adequate to accomplish a purpose by any means!
Mhusika mkuu wa tukio zima au shutuma zilizoletwa na Chadema sio mwingine bali ni Edward

Naomba ieleweke wazi kabisa kuwa
serikali ya Tanzania kwa sasa inaongozwa na Edward lowassa,na hakuna mtu au taasisi yoyote ile hapa nchini kuzuia hilo

yale yaleeee...
 
Hello people!
Naomba ieleweke wazi kabisa tuhuma zilizotolewa na Chadema zitatikisa
taifa letu na kuna mabadiliko makubwa yatatokea kutokana na tuhuma
hizo,kwa taarifa ni kwamba hizi tuhuma zitakwenda mbali kuliko
tunavyofikiri
Naomba ieleweke wazi kabisa kuwa Kikwete hausiki kwa namna yoyote ile na
tuhuma hizi yeye binafsi,nimefanya kazi na Kikwete ninamjua vizuri japo
sio Adequate to accomplish a purpose by
any means!
Mhusika mkuu wa tukio zima au shutuma zilizoletwa na Chadema sio
mwingine bali ni Edward Lowassa,
najua kuna watu wake hapa Jf na kama mnasoma hii tuingie moja kwa moja
kwenye Hoja na Evidence!
Naomba ieleweke wazi kabisa kuwa serikali ya Tanzania kwa sasa
inaongozwa na Edward lowassa,na hakuna mtu au taasisi yoyote ile hapa
nchini kuzuia hilo

update follow shortly

Nashawishika kukuamini kutokana na ninavyomjua Lowassa ngoja tusubiri
 
ukimtaja lowasa unakuwa umegusa kunako...JK IS VERY SOFT to deal with heavy issues...

ila mwisho wa siku MAGAMBA NI MAGAMBA TUUUU
 
Movie ndiyo limeanza hivyo. Wahusika endeleeni na kumwaga mambo humu sisi tupande uhondo.
 
Ipo wazi,TISS 75% wanafanya kazi na Lowassa

Mbona Kikwete aliwatuma kwenda kwa Lowasa kumzuia asizungumzia mambo ya Richmond alipo waita waandishi wa habari Monduli miezi michache iliopita kama alikuwa na nguvu kuliko kikwete ilikuwaje waka mpiga stop...je unataka tuamini TISS ni watiifu kwa Lowasa kuliko Kikwete.....
 
hello people!
Naomba ieleweke wazi kabisa tuhuma zilizotolewa na chadema zitatikisa taifa letu na kuna mabadiliko makubwa yatatokea kutokana na tuhuma hizo,kwa taarifa ni kwamba hizi tuhuma zitakwenda mbali kuliko tunavyofikiri
naomba ieleweke wazi kabisa kuwa kikwete hausiki kwa namna yoyote ile na tuhuma hizi yeye binafsi,nimefanya kazi na kikwete ninamjua vizuri japo sio adequate to accomplish a purpose by any means!
Mhusika mkuu wa tukio zima au shutuma zilizoletwa na chadema sio mwingine bali ni edward lowassa,
najua kuna watu wake hapa jf na kama mnasoma hii tuingie moja kwa moja kwenye hoja na evidence!
Naomba ieleweke wazi kabisa kuwa serikali ya tanzania kwa sasa inaongozwa na edward lowassa,na hakuna mtu au taasisi yoyote ile hapa nchini kuzuia hilo

update follow shortly

mh!!!!ndugu yangu nini tena hapa!!!!!!ulichokiweka wazi hapa ni kukiri kuwepo kwa mambo hayo na kututajia muhusika!!tusaidie basi kwa kutupa taharifa za kina!!!!!ili tukupate sawasawa!!!!
 
Mmh! haya sasa makubwa! ngoja nivae miwani yangu kwanza....halooo Mamito hebu lete hiyo miwani yangu
niingie kwenye mnakasha ungine hapa
 
Back
Top Bottom