The roman catholic church is the richest organization in the world!

Status
Not open for further replies.
Mimi nilidhani islam ndo dini tajiri zaidi bcos:
1. Waislam ni wengi zaidi duniani.
2. Uislam imeenea zaidi kwenye nchi zenye utajiri wa mafuta.
3. Waislam hutoa zaka kubwa zaidi.

Naendelea kushangaa.
 
Mimi nilidhani islam ndo dini tajiri zaidi bcos:
1. Waislam ni wengi zaidi duniani.
2. Uislam imeenea zaidi kwenye nchi zenye utajiri wa mafuta.
3. Waislam hutoa zaka kubwa zaidi.

Naendelea kushangaa.

Sahihisho:
1. Dunia ina watu zaidi ya billion 6, waislam ni 1.5 - 2.0 billion kama asilimia 20 tu ya watu wote duniani, hivyo siyo wengi zaidi duniani.

2. Uislam umeenea zaidi kwenye 3rd world countries (nchi zinazoendelea na maskini), ndiyo sababu kuna wakimbizi wengi kwenye nchi zilizoendelea kutoka nchi za kiislam.

3.Waislam hutoa zaka zaidi - hapo sina uhakika.
 
Binafsi sio mkatoliki, kuna siku nilikuwa naongea na wafanyakazi wenzangu kuhusiana na ubora wa elimu inayotolewa na vyuo vikuu nilichokisema ni kwamba kama serikali itaendelea kukopesha wanafunzi na chuo cha Saut kisipopandisha gharama za elimu basi miaka kumi ijayo kitakuwa chuo bora kabisa hapa Tanzania, ukweli ni kwamba wakatoliki wako serious na mambo yao, vyuo vyetu vy serikali kikiwemo UD ambacho mimi nimesoma kitakosa uwezo wa kuajiri wahadhiri wenye sifa kutokana na serikali kutozingatia suala la ubora wa elimu, mfano kuna gape kubwa sana kati ya wahadhiri waandamizi waliowengi ni wazee halafu wahadhiri na wahadhiri wasaidizi ni wachache na wengi kwa miaka ya hivi karibuni ni wale wanaitwa tutorial assistants, wakati wenzetu wa Saut wana madoktor wengi tu ambao wengi wao ni mapadri na masister.

Mimi nawapongeza sana wakatoliki kwa juhudi zao za kuboresha huduma za jamii hususan elimu na afya.
 
Ni matajiri kweli maana wanamiliki hata hii! Catholic church movement(CCM)
 
2. Uislam umeenea zaidi kwenye 3rd world countries (nchi zinazoendelea na maskini), ndiyo sababu kuna wakimbizi wengi kwenye nchi zilizoendelea kutoka nchi za kiislam.

.

The greatest gift of Islam to its followers is poverty. All Islamic countries with the exception of those that have oil are poor.
 
MS Sijui kapotelea wap!manake nimechek thread nzima hayupo!au alikua kwenye lile daladala la LIM safari?
 
Tafuteni kwanza ufalme wa mbingu mengine yote mtayapewa kwa ziada, mtakula nini, mtalala wapi, mtasoma wapi, mtayapewa kwa ziada
 
attachment.php


Roman Catholic is the richest organisation in the world according to Forbes.
 

Attachments

  • church.jpg
    church.jpg
    38.5 KB · Views: 1,494
Mimi nilidhani islam ndo dini tajiri zaidi bcos:
1. Waislam ni wengi zaidi duniani.
2. Uislam imeenea zaidi kwenye nchi zenye utajiri wa mafuta.
3. Waislam hutoa zaka kubwa zaidi.

Naendelea kushangaa.

Hata siyo wengi ingawa wanazaliana saana kama nguruwe vile
 
Mie sikuwahi hata kufuatilia ila utajiri mkubwa ni sadaka za watawa wake kuacha mambo ya kidunia kwa ajili ya ufalme wa mbinguni
 
by the 1500s,the church was more than 1500 years old,it was by that time,the oldest and best established institution in the whole western world,with age and growth,it had become so rich and powerful that it was feared by monarchs and commoners alike.for over 1000 years the church trained Europe's diplomats,judges and other leaders,the latin language,which the church preserved,served to unify Europe,and this unity was reinforced by the beliefs that European christians shared.during the middle ages,one of the ways of a person could be freed from some or all of his or her sins was to be granted by the church an indulgence or pardm,the person had to undertake a crusade or pilgrimage,say certain prayers,or even cmtribute money to the church however,some members of the clergy simply sold indulgences.the widespread sale of indulgences was the immediate cause of the PROTESTANT REFORMATION.to be continued.......

I can't agree with you more, I watched a documentary on how churches weare stablished, in every parish they built a church and located a local priest or pastor. Due to maginal number of church goers nowadays, those churches have been abandoned. Christianity played big party in establishing governess in Western countries.
 
Mimi nilidhani islam ndo dini tajiri zaidi bcos:
1. Waislam ni wengi zaidi duniani.
2. Uislam imeenea zaidi kwenye nchi zenye utajiri wa mafuta.
3. Waislam hutoa zaka kubwa zaidi.

Naendelea kushangaa.

umenchekesha, waroma peke yao bila kutaja madhehebu mengine ni wengi kushinda waislamu wote duniani
 
mi ni mkristo ila hoja yako ni ya kipumbavu,, haya congo c kuna wakristo wengi mbona congo ndo the poorest country??!! hapo sijataja burundi, uganda na sehem zingne
 
:usa2::usa2::usa2:;Wakatoliki wako poa sana!;Wanatoa elimu bila kubagua bhana!,hii nimeiona pale Loyola high school Mabibo Dar es salaam Tanzania;Mtoto akiwa na uwezo kiakili darasani na mzazi hana uwezo wakichunguza wakagundua ni kweli wana msomesha bure bila kujali ni mkatoliki wala ni mpagani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom