The roman catholic church is the richest organization in the world!

Status
Not open for further replies.
i was left in awe after i read this " ....that Catholic
education at this time stands head and
shoulders above every other form of
education that we have.....CC FaizaFoxy and kahtaan
 
Last edited by a moderator:
Catholic church haitumii utajiri Wa wafuasi ,Bali hutumia wingi Wa wafuasi kutafuta mpenyo Wa biashara,lakini Mali humilikiwa na kanisa ,hii ina wafuasi kinadharia Ni washiriki japo hawana his a. Utajiri huo unamilikiwa na watu bilioni 1.2 uwezi linganisha na utajiri Wa ms billy gates ambao Ni Wa kwake na familia yake
 
Ila hapa kwetu Tz Nyerere japo Mkatoliki mzuri alizuia nguvu za ukatoliki kwa kutaifisha mashule ya dini ambazo mengi yalikuwa ni ya wakatoliki. Kanisa liliacha kujenga shule na vyuo miaka ya 70 kwa hofu ya kutaifishwa na serekali ya kisoshalist lakini sasa Kanisa limenza tena kujenga shule na vyuo.

Unaweza kufikiri kama si Nyerere kutaifisha mashule leo hii tungekuwa na mashule na vyuo vingapi vya Kanisa.

Huwa sielewi kanini waislam wengi wamekuwa brainwashed kufikiri kwamba kwa jamii yao kuwa nyuma kielimu ni kwa sababu ya Nyerere kuwapendelea wakristo. Ukweli ni kwamba wakristo wanamlaumu Nyerere kwa kuwarudisha nyuma pale alipotaifisha mashule na vyuo vyao. Hivyo waislam wanapaswa kuujua ukweli wa mambo ambao mara nyingi wanakuwa wakidanganywa na viongozi wao kutokana na siasa za kidini na brain washing kubwa mno!
 
Hata siyo wengi ingawa wanazaliana saana kama nguruwe vile

asante kwa tusi zur mkuu kwa waislam,ila kwa mfumo huu wa maisha bila shaka uwezo wako wa kufikir kidoogo utakuwa umepungua,kwan umemsahau hata bibi yako na babu yako mzaa mama yako ambao nao ni waislam,au umesahau?ila tunashukur kwa tus lako kwan hata bibilia inakufundisha kuzaa,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom