Bunda: Paroko Karoli Mganga mbaroni akidaiwa kughushi na kujipatia Tsh. Milioni 800

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,305
Paroko wa Kanisa Katoliki Parokia ya Bunda mkoani Mara, Karoli Mganga anatuhumiwa kughushi nyaraka na kujipatia zaidi ya Sh800 milioni kinyume cha sheria.

Paroko huyo anatuhumiwa kuhusika kwenye tukio hilo pamoja na mhasibu wa parokia hiyo, Gerald Mgendagenda.

Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Salim Morcase alisema kutokana na tuhuma hizo, jeshi hilo liliwakamata watuhumiwa wote wa wawili na kufanya uchunguzi kwa ajili ya hatua nyingine zaidi.

Alisema tayari jeshi hilo limekamilisha uchunguzi na jalada limepelekwa Ofisi ya Mashtaka kwa ajili ya hatua zaidi.

Kamanda alisema paroko huyo na mhasibu wake wanadaiwa kugushi nyaraka kwa nyakati tofauti na kujiapatia kiasi hicho cha fedha, mali ya parokia hiyo, kinyume cha sheria na taratibu.

Alisema mbali na kughushi nyaraka, watuhumiwa hao pia wanadaiwa kughushi sahihi za watu mbalimbali, hali iliyowawezesha kufanikisha malengo yao na kujipatia kiasi hicho cha fedha.

“Sisi tumekamilisha upelelezi wetu tangu wiki iliyopita na jalada tumelipeleka kwa mwendesha mashtaka wa Serikali, hivyo tunasubiri hati ya mashtaka kwa ajili ya watuhumiwa kufikishwa mahakamani kwa mujibu wa sheria," alisema.

Alisema watuhumiwa hao wako nje kwa dhamana wakisubiri kukamilika kwa mchakato wa ofisi ya mwendesha mashtaka wa Serikali.

Credit - Mwananchi
=========================​
Alleged Forgery Scandal Involving Catholic Parish Priest and Accountant in Bunda, Mara Region

In a surprising turn of events, the Parish Priest of the Catholic Church in Bunda, located in the Mara Region, Father Karoli Mganga, is facing accusations of document forgery and unlawfully obtaining over Sh800 million. The scandal involves the parish accountant, Gerald Mgendagenda.

Mara Regional Police Commander, Salim Morcase, addressed the media yesterday, revealing that both the priest and the accountant were arrested for investigation following the allegations. The police have completed their inquiry, and the case file has been forwarded to the Prosecutor's Office for further action.

According to Commander Morcase, the duo is accused of forging documents on various occasions to misappropriate the substantial sum of money, which belongs to the parish, contrary to the law and established procedures. In addition to document forgery, the suspects are also alleged to have falsified signatures of various individuals, enabling them to achieve their objectives and accumulate the mentioned funds.

"We concluded our investigation last week, and we have submitted the case file to the government prosecutor. We are now awaiting the issuance of charges for the suspects to be taken to court in accordance with the law," stated Commander Morcase.

While the accused individuals are currently out on bail, they await the completion of the legal process by the government prosecutor's office. The unfolding scandal has raised concerns within the local community and the Catholic Church, prompting authorities to take swift action against the accused priest and accountant.
 
Hiv ni mimi ambae sijui au na niny wenzangu. Hivi kwenye hii kesi wa kulalamika ni Kanisa katoliki au parokia? Naonaga pia watu wanasema TAKUKURU waende mara simba mara Yanga, ila hizo si pvt bodies? So why TAKUKURU?
 
Nijuavyo mimi, Paroko ndiye mdhamini wa mali zote za Parokia. Hata akitaka kutumia hovyo mamlaka aliyopewa kwa kuaminiwa, anaweza kufanya bila shida yoyote. Sijajua hilo limekaaje
 
Paroko wa Kanisa Katoliki Parokia ya Bunda mkoani Mara, Karoli Mganga anatuhumiwa kughushi nyaraka na kujipatia zaidi ya Sh800 milioni kinyume cha sheria.

Paroko huyo anatuhumiwa kuhusika kwenye tukio hilo pamoja na mhasibu wa parokia hiyo, Gerald Mgendagenda.

Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Salim Morcase alisema kutokana na tuhuma hizo, jeshi hilo liliwakamata watuhumiwa wote wa wawili na kufanya uchunguzi kwa ajili ya hatua nyingine zaidi.

Alisema tayari jeshi hilo limekamilisha uchunguzi na jalada limepelekwa Ofisi ya Mashtaka kwa ajili ya hatua zaidi.

Kamanda alisema paroko huyo na mhasibu wake wanadaiwa kugushi nyaraka kwa nyakati tofauti na kujiapatia kiasi hicho cha fedha, mali ya parokia hiyo, kinyume cha sheria na taratibu.

Alisema mbali na kughushi nyaraka, watuhumiwa hao pia wanadaiwa kughushi sahihi za watu mbalimbali, hali iliyowawezesha kufanikisha malengo yao na kujipatia kiasi hicho cha fedha.

“Sisi tumekamilisha upelelezi wetu tangu wiki iliyopita na jalada tumelipeleka kwa mwendesha mashtaka wa Serikali, hivyo tunasubiri hati ya mashtaka kwa ajili ya watuhumiwa kufikishwa mahakamani kwa mujibu wa sheria," alisema.

Alisema watuhumiwa hao wako nje kwa dhamana wakisubiri kukamilika kwa mchakato wa ofisi ya mwendesha mashtaka wa Serikali.

Credit - Mwananchi
Upigaji++
Watu wamejitumbukiza kwenye dini si kwa lengo la kutumikia, bali lengo lao ni kujikimu na maisha.
Vyombo vya kiserikali inabidi viende beyond hapo kwenye kuzifuatilia taasisi za dini, maana zimejaa waharifu kuliko mitaani.
 
Anapeleka wapi huo mpunga wote mtu hana demu wala watoto!
Ukichukua mtu kasoma seminary muda mrefu huyo ni jasusi hata TISS hawaoni ndani. Padre mmoja aliwahi kuleta demu wake kanisani akidai ni binamu yake, akawa anaishi nae parokiani bila watu kugundua. Ukiona anavyomkaripia huwezi dhania.

Padre anaweza akawa na mtoto, mtoto akatumia jina la ukoo wa mama. Mtoto akasoma shule ambayo padre anasimamia na mtu yeyote asijue. Hata wake wanaozaa nao huwa hawakurupuki na watoto wao hawawi vilaza kuropoka.
 
Sifa za kijinga hizi,padre gani ni jasusi kuliko tiss!? Mapadre kibao Wana watoto na tunajua,wengine walikunywa sumu baada ya kujua wameukwaa ukimwi na kueneza convent kwa masista. Acha ukilaza,watakulawiti hao ukiwatukuza sana.
 
Back
Top Bottom