The returns of Jack Bauer in 24 Live Another Day

Siichokiiii hii series nimeangalia kila season 1-8 sio chin ya mara 4 kila moja.

Haya ndo maneno anayopenda kuyatumia jack bauer..
“ dont even think about it“

“ dammit we had him“

“this bauer the suspect is in custody, i repeat the suspect is in custody.“

Yaah nakumbuka alisema " dammit we had him ( Habib Marwan)" alopoambiwa surrender urslf to secret service agents order ilitolewa na Logan. My favorite part ni wale commandos wa Sangala walipo vamia white house, aiseeh hapana chezeya 24
 
The most thing I like about Jack Bauer ni pale anapo-face multiple objectives/conflicts na kutakiwa kuchagua the best option... hapa ndipo unaweza usiweze kuilinganisha 24 na series nyingine yoyote ile! Bado nakumbuka Jack alipo-sacrifice maisha ya Paul wakati ni Paul huyo huyo alikua ameokoa maisha ya Jack saa chache tu zilizopita! Hii ni pale Jack aliporudi na Marwan CTU huku Marwan akiwa mahututi... amebakisa sekunde chache za kuishi! Ile wanafika CTU hospital, wanakuta only one doctor ambae alikuwa anamuhudumia Paul ambae nae pasipo na huduma ya haraka ilikuwa anakufa! Under gun point, Jack akamlazimisha Doctor kumuhudumia Gaidi Marwan na kumwacha Paul... like expected Paul akafa lakini Marwan ali-gain conscious kwa sekunde chache lakini aliweza ku-reveal alichohitai Bauer! Ulikuwa ni ukatili wa hali ya juu ambao Jack aliufanya lakini ilikuwa ni lazima!

Hata hivyo, what I don't like about Jack ni kwamba he's too emotional to people he cares! Thanks God, Kim now is an old woman though am afraid na affection kwa mjukuu wake... mapenzi ya Jack kwa Kim mara kwa mara yalikuwa yanakaribia ku-jeopardize entire mission! Kutokana na kuwa too emotional to people he cares, Jack turned to be hooligan in Season 8 baada ya kuendesha reckless revenges to all people caused in one way or another the death of that FBI Agent... the woman expected to make Jack happy!
 
Kwa wale wapenzi wa series za kijasusi,siasa za kimafia, ugaidi na upelelezi wakae mkao wa kula. Huku tukiendelea kuisubiria homeland na kuendelea kuangalia series kali ya Arrow na sasa tukae tayari kuipata 24 Live another day, baada ya kusubiria kwa kipindi kirefu sana hatimaye 24 Live another day itakuwa hewani kuanzia siku ya Jumanne hii tar 06/05/2015. Series hii itaanzia miaka minne baada ya ile season 8.
Kama mnakumbuka vizuri Jack alilazimika kuikimbia nchi yake akiogopa kukamatwa na Warusi na Wamarekani wenyewe, huku akimwomba rafiki yake kipenzi Chloe amtunzie binti yake.
Je ni kwamba atafanikiwa kuteka soko la filamu kama mwanzo, basi tuungane nae tuone nn kitafuata...............
View attachment 155836View attachment 155837View attachment 155838View attachment 155839

Updates:
episode 1 na 2 ziko tayari kwa uhakika zichek kickass.to,
Kwa mujibu wa http://www.televisionseries.org/24-Live-Another-Day ni kuwa episode 3 pia inatoka leo ila bado haijawekwa kickass.to mpaka sasa

Nishazdownload na kuziangalia episode mbili
Kama kawaida mwanangu jack haniangushi I don't wonder y 24 is the most TV show kwa malipo
Another site WWW.extratorrent.com
 
binafsi najijua nilivo na allerge na movies yaan uwa nanogewa sana kupita maelezo..so siwezi kudownload episode moja halafu nianze kusubilia,pllss zikifika episode 5 tujulishane wadau name nianze kuzishusha
 
hapa ndo tulipopishana mkuu, me sipendi zikiwa nyingi zinapoteza muda sn, unwza usifanye kitu kingine muda wote unaangilia series, napenda hii ya wiki wiki
 
Just two episode?
Watu tulipiga mpaka sa6 mchana tolea Jana take as mbili usiku kudadadeki kugungua pazia sa 6 mchana

usinichekeshe mkuu, me nilikuwa naangalia Lost hata kula nilikuwa sitamni na ilikuwa likizo, full kujiachia
 
I‘m watching it now....
Baeur is back
Chloe

Aliekuwa secretaty of state heller

Kwny season mpya ni prezida wa US.
 
The most thing I like about Jack Bauer ni pale anapo-face multiple objectives/conflicts na kutakiwa kuchagua the best option... hapa ndipo unaweza usiweze kuilinganisha 24 na series nyingine yoyote ile! Bado nakumbuka Jack alipo-sacrifice maisha ya Paul wakati ni Paul huyo huyo alikua ameokoa maisha ya Jack saa chache tu zilizopita! Hii ni pale Jack aliporudi na Marwan CTU huku Marwan akiwa mahututi... amebakisa sekunde chache za kuishi! Ile wanafika CTU hospital, wanakuta only one doctor ambae alikuwa anamuhudumia Paul ambae nae pasipo na huduma ya haraka ilikuwa anakufa! Under gun point, Jack akamlazimisha Doctor kumuhudumia Gaidi Marwan na kumwacha Paul... like expected Paul akafa lakini Marwan ali-gain conscious kwa sekunde chache lakini aliweza ku-reveal alichohitai Bauer! Ulikuwa ni ukatili wa hali ya juu ambao Jack aliufanya lakini ilikuwa ni lazima!

Hata hivyo, what I don't like about Jack ni kwamba he's too emotional to people he cares! Thanks God, Kim now is an old woman though am afraid na affection kwa mjukuu wake... mapenzi ya Jack kwa Kim mara kwa mara yalikuwa yanakaribia ku-jeopardize entire mission! Kutokana na kuwa too emotional to people he cares, Jack turned to be hooligan in Season 8 baada ya kuendesha reckless revenges to all people caused in one way or another the death of that FBI Agent... the woman expected to make Jack happy!

ni kweli mkuu toka jack ampoteze mkewe, mapenzi yote yamehamia kwa kim, kwa maisha ya jack hawezi dumu na mpenzi aisee ila ndo anapendwa kweli ila ndo hana bahati ya kudumu
 
Back
Top Bottom