Darius
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 1,951
- 320
24 hours namba nyingine, hakuna series inatia mguu hapo. Mkumbuke ile series ni ya early 2000's na ile katika ile series chloe, moris, Edgar walifanya vitu vya hatari sana kiteknolojia kwa miaka hiyo. Ukija kwa jack bauer zile torture skills ni za hali ya juu sana hope walikuwa na consultation nzuri sana. Huku ukija kwa David palmer, dah yaani ile series waliua. Though uongo mkuu ulikuwa ni kwa jackbauer kumaliza seasons zote nane pasipo kupigwa risasi hata moja ilhali yeye ndio alikuwa kiongozi wa field opps.
but na yeye torture alizipata...,kumbuka pia alikuwa exposed na ile chemical weapon ...pia alipigwa risas mpaka akazimia but uzuri alikuwa na bulletproof ...!
Chloe O'Brien ndo mtu nambari moja ambae jack anamwamini...kama uligundua hilooo