FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,792
- 5,375
Bado nafikilia hapa......
i love my pretty eyes!!
Hapo sawa.... (Mpenzi hii ni Chit chat forum... yaani topic zoote zaruhusiwa ili mradi ya mrusha mada ijibiwe kwanza....lol)
KHAA!INAMAANA KISWAHL NI KIGUMU KIAS HIKI? umeulizwa ni kiungo/sehemu gani katika mwili wako unayoipenda zaidi? Hujaulizwa unampenda nani!watoto wangu tu before was my parents of course my hubby too uuuwiii nimekosea yesu kwanza nampenda mno ndo aliyenipa vyote hapo juu
Nipo bwan' Rocky.... Nasoma mnavojipendelea!
Mwayego ni baada ya kuelewa mapana ya mjadala ndo ikabidi tu niitikie hivo.
Kwamba unaweza kuwa unajipenda maumbile yako, tabia yako n.k
ok Asha D nimerudi..
wataka kujua kitu gani..??
niki maanisha physical appearance , personality au ??
Kwa niaba ya AshaDii nataka kujua vyote lol
we siiunajua kila kitu ...
mmhh
Let me think which to write down here
The compassion and passion in me lol!
I love the way i set my goals sio kwamba nayafanisha yote ila huwa naenjoy nnapopanga then nafikia malengo yangu!
Ucheshi wangu.
watoto wangu tu before was my parents of course my hubby too
uuuwiii nimekosea yesu kwanza nampenda mno ndo aliyenipa vyote hapo juu
Nimekwama kupata jibu moja...nia list ya vitu vitano hadi sasa...
angalau tukio moja lililowahi kutokea ambalo lina-prove
me honest kwakweli
i love my pretty eyes!!
Napenda masikio
Kujikubari mwenyewe yaani hapo ndo basi
NN if you don't mind would really like to know.... kitu gani wapenda...
My strength of character and my unassuming nature! Believe it or not but I am a very modest person.
Yaani King'asti hapo chini bado unafikiria tu lol!!!
Tenacity.
The funny thing is I trust you for hunaga kuuza sura and you don't care what the heck what we Members think about you.... Your Avatar and comments; they go hand in hand... ila hapo kwenye blue you may think so... but sometimes there is an assuming nature in some of your post... But i could be wrong too... (usije nipiga mawe)