The ONE thing you Love Most!

Hapo sawa.... (Mpenzi hii ni Chit chat forum... yaani topic zoote zaruhusiwa ili mradi ya mrusha mada ijibiwe kwanza....lol)

Nimekusoma maana wataalamu Mr. Rocky na Finest tayari washaitendea haki (Kwa kuchakachua thread hawa ni professional)
 
watoto wangu tu before was my parents of course my hubby too uuuwiii nimekosea yesu kwanza nampenda mno ndo aliyenipa vyote hapo juu
KHAA!INAMAANA KISWAHL NI KIGUMU KIAS HIKI? umeulizwa ni kiungo/sehemu gani katika mwili wako unayoipenda zaidi? Hujaulizwa unampenda nani!
 
The compassion and passion in me lol!

Good one Lucy.... at least it goes with the Avatar... So you are passionate eeeh?? I hope ktka all aspects...

I love the way i set my goals sio kwamba nayafanisha yote ila huwa naenjoy nnapopanga then nafikia malengo yangu!

Yaani Safety hongera saana maana most of Us hio yatushinda saana kuenda sambamba na Malengo....

Ucheshi wangu.


Sinforosa.... Beautiful name... With a beautiful smile.... hapo ina maana you are a happy person mara nyingi...
 
watoto wangu tu before was my parents of course my hubby too

uuuwiii nimekosea yesu kwanza nampenda mno ndo aliyenipa vyote hapo juu

Hapa Sakapal umenibania.... nasema unachopenda kwako wee... iwe mwilini ama tabia.... Hebu funguka basi nasubiri......

Nimekwama kupata jibu moja...nia list ya vitu vitano hadi sasa...


Sangara hebu lete tuone hio list.....
 
angalau tukio moja lililowahi kutokea ambalo lina-prove

me honest kwakweli

Bei mbaya sijakupata hapa Mkuu.... lol

i love my pretty eyes!!

Wow gal.... that good to hear.... Hongera saana bana.... Kula nyanya nyingi mbichi na carrots ili yawe brighter....

Napenda masikio

My imagination imeshindwa kabisa nitendea haki.... Kuna mfano wa mtu yeyote maarufu ili nim-google??

Kujikubari mwenyewe yaani hapo ndo basi


Thats the spirit.... Hii kitu hujenga Confidence....
 
My strength of character and my unassuming nature! Believe it or not but I am a very modest person.


The funny thing is I trust you for hunaga kuuza sura and you don't care what the heck what we Members think about you.... Your Avatar and comments; they go hand in hand... ila hapo kwenye blue you may think so... but sometimes there is an assuming nature in some of your post... But i could be wrong too... (usije nipiga mawe)
 
The funny thing is I trust you for hunaga kuuza sura and you don't care what the heck what we Members think about you.... Your Avatar and comments; they go hand in hand... ila hapo kwenye blue you may think so... but sometimes there is an assuming nature in some of your post... But i could be wrong too... (usije nipiga mawe)

Is that so? Wow..oh well...may be I am at times. I'm just as human as everyone else.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom