The Mwalimu Nyerere Memorial College kina ubora gani wandugu?

Mar 11, 2021
35
31
Ndugu wanajamvi salam kwenu nyote. Jamani nina kijana wangu wa kike amemaliza four mwaka jana na kupata div 4.

Katika kihangaika kutafuta pahala pa kumpeka kuna jamaa yangu kanielekeza hapo Nyerere memorial.

Kweli nimeperuzi nikaona anazo sifa za kupata cource pale na nimependa aanze na basic certificate ya human resource. Naomba anaefahamu sifa za hiki chuo anisaidie angalau nipate mawili matatu ya ubora wa chuo hiki.

Asanteni.
 
sasa mwanao ana Div. 4 a bado unamtafutia chuo chenye sifa kwani yeye ana sifa???

Anyway tuachane na hayo, chuo ni cha serikali na kimesajiliwa hivyo kina sifa.


Halafu kusomea human resource kwa level ya certificate ni kumpotezea muda mtoto.

Asome
1.Records mgt.
2. Secretarial course
3. Library
 
Back
Top Bottom