Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,581
- 18,124
what is so special kuhusu hicho kisiwa....????.......ni ushuru wa wavuvi wadogowadogo(maana hapo ndo hasa mgogoro ulipoanza kukua)......au kuna kingine..........nani kati ya kenya na uganda amekiendeleza hicho kisiwa hadi wafikie kutishiana KIJESHI...... I think hakuna kitu ambacho diplomacy ikitumika vizuri itashindikana.........MPs wa kenya waache kukurupuka(the other day wakati wa kikao kinachoendelea sa hivi cha bunge la kenya kuna mbunge mmama alisimama na kumtukana museveni hadi akalazimishwa na spika kufuta kauli yake....kweli hao ni mad Jaluos)
Mkuu nimesema those Kenyan MPs are mad.Si uliona hata kwenye Mediation,waziri mzima Martha karua alivyomtukana Koffi Annan
Diplomacy is Zero,halafu wanajidai wamesoma eti! Una-expect kitu gani from an ordinary Kenyan kama leaders wao ndio wana-behave like animals?