Manda
JF-Expert Member
- Sep 24, 2007
- 2,073
- 304
Kwa taarifa tu yenu Migingo is more than an island!
Maji yanayo zunguka pale yana shehena ya samaki balaaa! (refer to remarks za Mu7, kuwa kisiwa chenu ila Maji.....??!!), unaambiwa viwanda karibia VINNE Nchini Kenya vilikuwa na vinalishwa na products za samaki from Migingo, asa mara baada ya Ug kugundua dili kuwa kisiwa chao (according to them), na still Kenyans wanafaudu kuloko wenye nacho then waka taka wa-overturn status quo, hapo sasa bifu ndio likaanza, na linaendelea, mind you Kenyans they are real CAPITALISTS with all the traits of CAPITALIST, just imagine mhindi pale K'koo anavyokuwa mchungu na duka lake then the same picture kwa Kenyans recently, by the way siwaoni wakimalizana vutana leo wala kesho, tuombe tu ya Bokasa Penisular na Ethioipia/Eritrea yasijetokea huku kwetu!
Cheers!