Rejao
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 9,220
- 4,059
Mhhh....kazi ya ubodgad unaimudu vilivyo!!!Haya wee Kongosho..! mimi nakusanya data mumie
babie wa Smile huyo..usimdhuru
Mhhh....kazi ya ubodgad unaimudu vilivyo!!!Haya wee Kongosho..! mimi nakusanya data mumie
babie wa Smile huyo..usimdhuru
baby taratibu niko maputo hapa nakuona kwa mbaliMhhh....kazi ya ubodgad unaimudu vilivyo!!!
oooh! sijaharibu lakini ma dia!!! Nipo makini sanababy taratibu niko maputo hapa nakuona kwa mbali
mmmmmhbishanga + kongosho 95
rejao + kongosho 99.51
mmmmmh
Hehehehe nimekupigia ramli nimepata 72%. . . FUNNY!!
Huyo MS kumbe ni She bodyline))
Eniwe, Mr. Superman huyo Dr. Love kwangu ni gundu..ananiwangia naona! chini ya 20%
Hii kalikuleta itakuwa ya kichina au imegeuzwa betri, nimeweka majina ya couples 3 tofauti ambazo zimedumu kwa muda mrefu mpk uzee unawanyemelea zote imetoa majibu below 30 na moja yenye kuwaka moto(kiasi sijui kama watamaliza huu mwaka pamoja) hapo imenipa 78%.
Mbaya ni kwa mimi na wife wangu: 21%.
We! Acha ufisadi wa Mapenzi. Ni 24% bana:
Dr. Love thinks a relationship might work out between Lizzy and Superman, but the chance is very small. A successful relationship is possible, but you both have to work on it. Do not sit back and think that it will all work out fine, because it might not be working out the way you wanted it to. Spend as much time with each other as possible. Again, the chance of this relationship working out is very small, so even when you do work hard on it, it still might not work out.
Au unanipenda wewe? Dr. Love anasema the chance is very small.
Wala usipate presha haina ukweli wowote. . .Hii kalikuleta itakuwa ya kichina au imegeuzwa betri, nimeweka majina ya couples 3 tofauti ambazo zimedumu kwa muda mrefu mpk uzee unawanyemelea zote imetoa majibu below 30 na moja yenye kuwaka moto(kiasi sijui kama watamaliza huu mwaka pamoja) hapo imenipa 78%.
Mbaya ni kwa mimi na wife wangu: 21%.
Haaaaaa haaaa haya bana . . . . .
Sasa hii ramli ulinipigia na nani? Mwali?