Mkandara said:Unajua ni kweli kila kona dunia nzima Kusini (South) iwe ya mji ama taifa ni sehemu ambayo iko nyuma kwa kila kitu. Sababu haijulikani na ndoo maana watu husema kumenikalia kushoto. Ukitoka Dar kwenda mikoani kushoto kwako ni south na ndio balaa zote ziko huko! Marekani miji yote usije tokea ukaishi south ya mji! hatari tupu.
Mwenyekiti hatoi uamuzi wa mwisho bila ya kushauriana na wenziwe, line of succession kwa viongozi wao ni very clear siku zote akitoka nani ataingia nani, na hao wote waliopangwa kwenye line ni viongozi walipimwa na kuchujwa kwa uangalifu mkubwa kwa kuzingatia uwezo na elimu, matokeo yake ni kuwa hakuna mwanya wa kiongozi mmoja kutumia ujanja ili apande, au kuchukua madaraka bila ya kupitia system kichama na kisheria,
Je vyama vingi ni muhimu kwa kujenga Taifa la kisasa na lenye mafanikio ya kiuchumi?
Natumaini swali hili litajibiwa na wadau punde. The topic is back!
na mazuri yote ya nyerere lakini hapo naona mnafanya mzaha tuu na sioni sababu ya kusifia sera za nyerere ambazo ukweli tunaujua zilituletea umaskini tuu...