The Lesson Africa can learn from China!

One thing China have and its not in Africa is patience. So, unaweza kuona china imeanzia mbali, haija amka tuu asubuhi na kuwa China of today.

Mkuu Mtanganyika,

Heshima mbele, huuu ni ukweli mzito ambao hauwezi kuepukwa na Afrika, hauhitaji intellectualism kuelewa hili, na nido failure yetu hasa Afrika, inapoanzia na kuishia,

Bush, sasa hivi bado anasaini mikataba itakayoisaidia USA miaka 50 ijayo, pamoja na kwamba hatakuwepo kuiona matunda yake, huo ndio ustaarabu pia, wa kuweza kusaidia maendeleo ya nchi, ni pamoja na kuacha kujifikiria wewe tu na leo, kitu ambacho Afrika imekuwa ni kawaida!
 
Sisi Karamagi na kundi lake la mafisadi wanasaini mikataba kuwaneemesha wao wenyewe binafsi na matumbo yao na pili watoto wao na vitukuu vyao etc. SIO WATANZANIA WOTE KWA UJUMLA. (UBINAFSI).
 
Kyoma,

Sio wewe nakutana sana na Jasusi. Nime ku mention specifically kwasababu sijawahi kusikia jina hilo huko nyuma na kwenye forum nyingine. Kyoma huko siji napita tu ndugu yangu, unataka simu yangu iibiwe?!:) Halafu kwanini Ukiwa unatoka Dar kwenda mikoani Upande wa kulia umeendela ki majengo na ki infrastructure kuliko upande wa kushoto? Halafu ni wizara ya kilimo tu ndio ipo wilaya ya Temeke. unajua hilo?

Jasusi, nafahamu unaweza kutusaidia kufanya ka summary baada ya watu kuleta maoni yao hapa, kuna mengine (kuwekeza)hayahitaji barabarampaka iwe nzuri, na uwekezaji uwalenge wazawa, wawezeshwe, nisingependelea aje mwekezaji kutoka nje awekeze milioni 30Tzs eti mwekezaji!!! nataka level hiyo ya uwekezaji iwe kwa wabongo tu. Nico ilifanya kizuri ila namna ya kuwekeza ndio ninatofautiana nao.

Utaanza na mikakati ya Elimu, kuwapeleka nje wapate "kuiba" teknolojia:)
Utakuja kwenye namna ya kuraise capital na kuwatumia hao wataalamu
Kisha implementation.

FD

.......
 
Back
Top Bottom