The House of Kikwete: What went wrong?

Pasco

1. I clearly mentioned Almost 20 years kuhusu Mkapa

2. Umesema kuwa waliopanga na kumleta huyu did you mean jamaa wa halo DSTV?

3. If you are telling me kuwa kwenye line up yao Membe and Tibaijuka were among the candidates then I'm lost of words

4. Being a member of a political dynasty massively increases your probability of being elected to any political office. What went wrong with the Kikwetes?

5. How does this thread relate to Mahatma ya Kadhi and OIC? Sijaelewa connection uliyosema hapo juu
Mkuu kwanza nikupe kila pongezi inayostahili kwa kuanzisha thread ya kufikirisha namna hii. Hizi ndizo thread zinatakiwa JF na sio vinginevyo. Pasco ni mtu controversial sana na huo uzi alioku-link nao japo alipatia kuwa ''2015 could be Magufuli'' lakini ni katika moja ya nyuzi nyingi tu alizojaribu kufanya unajimu. Halafu kuhusu jamaa wa DSTV sio hao. Jamaa anadai eti ni wazee wa Vatican (RC) ndio walimpigia chapuo kitu ambacho ni uongo wa mchana kweupe kwa watu wanaojua Magufuli aliingiaje! SIO KWELI HATA KIDOGO!!!
 
Hii ni dalili kuwa watu wamemiss Utawala wa JK

Mmeshindwa kumsema JPM kwa sababu atawatandika mnamrukia JK kwa sababu ya upole wake!

Wewe unaisema Familia ya JK kuwa iko hohehahe, ulitaka waibe?

Kina Makongoro wamekaa Ikulu nyundo 24 lakini siyo Matajiri na wala hawana influence yoyote sembuse Kina Riz1 waliokaa nyundo 10 tu?
 
Jamaa anaonyesha ana Chuki mno na waislam
Jee nikikueleza kuwa mke wangu wa kwanza (RIP), alikuwa ni Muislamu, na watoto wangu ni Waislamu, utasema nini? . Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, huwa ninafunga mpaka leo!. Zanzibar nina mji, Tanga nina Mji na Lindi nina mji, na kote humo wenye mji ni Waislamu!.

Mtu mwenye chuki na Waislamu angebandika mabandiko kama haya? .
Mwarobaini wa Kweli wa Mahakama ya Kadhi ni Huu, Wakristo ...
Kete ya Dhana ya 'Zamu za Kupokezana' ina turufu yoyote katika ...
Sumu ya Siasa za Udini, Ukanda na Ukabila, "Is It Real? au ni ...
Japo hakuna kupokezana: Kiukweli, kihaki, kihalali na ki-Muungano ...
Je, kunahitajika affirmative action ili Mzanzibari aweze tena kuwa ...

Kwenye mabandiko yote haya, nawatetea Waislamu!.

Pasco
 
Mkuu kwanza nikupe kila pongezi inayostahili kwa kuanzisha thread ya kufikirisha namna hii. Hizi ndizo thread zinatakiwa JF na sio vinginevyo. Pasco ni mtu controversial sana na huo uzi alioku-link nao japo alipatia kuwa ''2015 could be Magufuli'' lakini ni katika moja ya nyuzi nyingi tu alizojaribu kufanya unajimu. Halafu kuhusu jamaa wa DSTV sio hao. Jamaa anadai eti ni wazee wa Vatican (RC) ndio walimpigia chapuo kitu ambacho ni uongo wa mchana kweupe kwa watu wanaojua Magufuli aliingiaje! SIO KWELI HATA KIDOGO!!!

Hajui kwamba huyo mtu anayesema aliletwa na RC aliwahi tengwa na kanisa kwa masuala ya ndoa na kuhamia kwa walokole!!!
 
Kila kiongozi na utaratibu wake..jakaya amepita na sasa ni huyu..jakaya alikuwa na uzuri na ubaya wake..uzuri wake ulizidiwa na ubaya(katika maamuzi)...
Wakati wa mwisho wa utawala wake aliyumba katika maamuzi na haya ni yupi awe successor wake...hata huko taasisini aliwayumbisha..hakuwa anaeleweka sana mpaka wazee anaowasema Pasco wakakutana mbeya(mahali salama) kwa siku tatu na wakaamua wametengeneze magufuli...mchezo wote na fomula zote za yaliyojiri dodoma zilitengenezwa na kikao hiki..yote yaliyotokea dodoma yaliandaliwa hapo...
Lakinj wakati wa maandalizi na mipango ikiwekwa sawa ni watu wawili walipitishwa..huyu aliyekalia kiti na makongoro...ilikuwa piga ua mmoja wao akalie kiti...
Na hata pale dodoma siku ile waziri mkuu mstaafu anakatwa..jina lililokuwa na maksi nyingi toka kamati ya maadili lilikuwa la makongoro...huyu akiyekalia kiti alikuwa wa tatu...na wala membe hakuwepo kwenye list..kwa kifupi membe na lowassa walikatwa...mwenyekiti wa chama akalalama kwa wazee washauro wa chama kina mkapa kwamba yeye kama mwenyekiti mbona hana meno..mtu wake amekatwa...akapewa karatasi yenye majina..katika haki ya kustaajabu mwenyekiti akakata jina la makongoro na kuweka la membe....
Hilo lilikuwa kosa lenye heri kama alifanya yuda kumsaliti yesu ili ulimwengu ukombolewe...magufuli akapitia dirishani na kuingia kwenye ufalme...hizi zote ni fomula za wazee walizotengeneza huko mbeya na kusimamiwa na mkapa hapo dodoma...
 
Hivi akina Andrew, na Madaraka Vs Riz na Dr Rahma, ni wapi wenye nafuu, hebu muacheni JK! ndo maana alisema wamenishindwa mimi "watawaanza wanangu"
Utafananisha Nyerere family na Kikwete?

Unaumwa polio wewe!!!
 
Kila kiongozi na utaratibu wake..jakaya amepita na sasa ni huyu..jakaya alikuwa na uzuri na ubaya wake..uzuri wake ulizidiwa na ubaya(katika maamuzi)...
Wakati wa mwisho wa utawala wake aliyumba katika maamuzi na haya ni yupi awe successor wake...hata huko taasisini aliwayumbisha..hakuwa anaeleweka sana mpaka wazee anaowasema Pasco wakakutana mbeya(mahali salama) kwa siku tatu na wakaamua wametengeneze magufuli...mchezo wote na fomula zote za yaliyojiri dodoma zilitengenezwa na kikao hiki..yote yaliyotokea dodoma yaliandaliwa hapo...
Lakinj wakati wa maandalizi na mipango ikiwekwa sawa ni watu wawili walipitishwa..huyu aliyekalia kiti na makongoro...ilikuwa piga ua mmoja wao akalie kiti...
Na hata pale dodoma siku ile waziri mkuu mstaafu anakatwa..jina lililokuwa na maksi nyingi toka kamati ya maadili lilikuwa la makongoro...huyu akiyekalia kiti alikuwa wa tatu...na wala membe hakuwepo kwenye list..kwa kifupi membe na lowassa walikatwa...mwenyekiti wa chama akalalama kwa wazee washauro wa chama kina mkapa kwamba yeye kama mwenyekiti mbona hana meno..mtu wake amekatwa...akapewa karatasi yenye majina..katika haki ya kustaajabu mwenyekiti akakata jina la makongoro na kuweka la membe....
Hilo lilikuwa kosa lenye heri kama alifanya yuda kumsaliti yesu ili ulimwengu ukombolewe...magufuli akapitia dirishani na kuingia kwenye ufalme...hizi zote ni fomula za wazee walizotengeneza huko mbeya na kusimamiwa na mkapa hapo dodoma...
Haha yaani mlevi na punguani Makongoro?
 
Nasikitika kukuambia kuwa Pasco hazungumzii ''hao wazee'' unaodhani wewe! Hata kama post yako ina ukweli lakini bado nasisitiza hujampata vizuri anazungumzia ''wazee'' gani!
 
Haha yaani mlevi na punguani Makongoro?
Kwa vile huwajui viongozi wa nchi hii..hakuna rais aliyekuwa mlevi kama mkapa..mkapa kwa ulevi amewahi kumliza baba wa taifa..ilikuwa wakati wa uuzwaji wa nbc..mwalimu alipata taarifa ya uuzwaji..akamuomba mkapa afike msasani..siku waliyokubaliana hakwenda..akaenda baada ya siku mbili mda wa jion akiwa amelewa sana mpaka wasaidizi wake wanamshikilia.
Mwalimu alipotokuja seblen akitokea chumban na kumkuta ben amelewa akamwangalia weee huku akiwa amesimama..alisikitika sana..hakutaka kuongea akarudi chumban..mkapa na watu wake nae akaondoka...kesho yake baada ya misa ya asubuhi mwalimu akaenda kwa kadinali pengo...alipofika mwalimu akaomba wakae wazungumze..wakaingia ofisini,mwalimu,pengo,msaidiz wa pengo na msaidizi wa mwalimu...
Ndipo mwalimu akaanza kumwambia pengo kitendo cha mkapa kwenda kwake akiwaamelewa....akamwangalia msaidizi wa pengo na kusema nendeni mkamuulize kwa nn anakuja kwangu akiwa amelewa namna hiyo..nimemkosea nini ..machozi yakamtoka mwalimu..ndipo kadinali pengo akamkatisha jwa kusema nitakwenda mimi binafsi kumuona na kumweleza kisha nitakuja msasani...
Pamojana ukevi wake yajo mazuri amelifanyia taifa hata hyo makongoro angeweza tu...
 
Nasikitika kukuambia kuwa Pasco hazungumzii ''hao wazee'' unaodhani wewe! Hata kama post yako ina ukweli lakini bado nasisitiza hujampata vizuri anazungumzia ''wazee'' gani!
Yess nimeon anamaanisha ""wazee""walee...lakini nilichokiekeza ndo uhalisia...mpango wa magufuli kugombea urais ulianzia songea kwwnye msiba wa mama yake naibu katibu mkuu wa ujenzi wa kati huo(somebody ndunguru) ..baada ya mazishi usiku katika hotel waliyofikia ndiko mpango wa kumpa wazo la kugombea ulianza...mengine ni historia
 
Kwa vile huwajui viongozi wa nchi hii..hakuna rais aliyekuwa mlevi kama mkapa..mkapa kwa ulevi amewahi kumliza baba wa taifa..ilikuwa wakati wa uuzwaji wa nbc..mwalimu alipata taarifa ya uuzwaji..akamuomba mkapa afike msasani..siku waliyokubaliana hakwenda..akaenda baada ya siku mbili mda wa jion akiwa amelewa sana mpaka wasaidizi wake wanamshikilia.
Mwalimu alipotokuja seblen akitokea chumban na kumkuta ben amelewa akamwangalia weee huku akiwa amesimama..alisikitika sana..hakutaka kuongea akarudi chumban..mkapa na watu wake nae akaondoka...kesho yake baada ya misa ya asubuhi mwalimu akaenda kwa kadinali pengo...alipofika mwalimu akaomba wakae wazungumze..wakaingia ofisini,mwalimu,pengo,msaidiz wa pengo na msaidizi wa mwalimu...
Ndipo mwalimu akaanza kumwambia pengo kitendo cha mkapa kwenda kwake akiwaamelewa....akamwangalia msaidizi wa pengo na kusema nendeni mkamuulize kwa nn anakuja kwangu akiwa amelewa namna hiyo..nimemkosea nini ..machozi yakamtoka mwalimu..ndipo kadinali pengo akamkatisha jwa kusema nitakwenda mimi binafsi kumuona na kumweleza kisha nitakuja msasani...
Pamojana ukevi wake yajo mazuri amelifanyia taifa hata hyo makongoro angeweza tu...
Hakuna asiyemjua Mkapa kuwa ni mlevi... ila Mkapa si mlevi wa level ya punguani makongoro!!

Miwani Oyeee? Haha,

Halafu hiyo story ya Mbeya umepotosha sana!!!
 
Yess nimeon anamaanisha ""wazee""walee...lakini nilichokiekeza ndo uhalisia...mpango wa magufuli kugombea urais ulianzia songea kwwnye msiba wa mama yake naibu katibu mkuu wa ujenzi wa kati huo(somebody ndunguru) ..baada ya mazishi usiku katika hotel waliyofikia ndiko mpango wa kumpa wazo la kugombea ulianza...mengine ni historia
Pasco anamaanisha Vatican elites, Asichojua hao watu walimtenga jamaa kitambo....
 
Yule wa Chato ni kawaida yake. Barabara ilipindishwa badala ya kupita Bmulo mjini ikapita chato ikaenda BK
Sasa hivi anajaza lake victoria na nasaba zake ktk power coridors.....

Nikikumbuka sakata la Nyumba za serikali sina hamu na huyo bwana kwenye ishu ya Nepotism!!!
 
Mm kama kwenye huu uzi mliyosema kweli bas kikwete alikua Rais wa wa tanzania wote sio mwaka tu ndg kibao serikalin watoto wa dada, shangaz cjui mjomba ngosha kibao uwanja wa ndege kwao nk kama mnampinga kikwete bas mnatengeneza mazingira mkuuu awe corrupt
 
Back
Top Bottom