nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,369
Sipendi nyumba ndogo lakini nimependa points za huu uzi. Zina harufu ya heshima kwa nyumba kubwa.
Hilo nalo neno Wifi King... i like the leading them part... maana tukiwa join moja kwa moja jamii haitachelewa kutugeuzia kibao kua hatufai!.... Sasa King wote wawili hatukak stress lets do the needful; Swali- huyo jirani pontential it is OK.... Sasa mbona sina mzuka wa kuenda huko maana yote napata.... Niende sababu naiga na kukomoa AMA niende sababu kuna mapungufu?? (For there is no mapungufu kwa Sweetie..) naomba ushauri tafadhali....
kawahi kupeleka mapochopocho small haus,si unajua leo public holiday,bila shaka nyumbani kaaga anaenda shamba chanika kumbe yuko kwa bi mdogo.Mwache astarehe bana.
we King'asti wee,ndoa zina rules zake,there are rules for men and rules for women,acha kuvuka mipaka usije ukaishia kuweka mikono kichwani.
Na wewe subiri ukibambwa ndo utajua kama dc wa igunga alivuliwa hijab au mtandio...'hakunaga' siri kwenye hii dunia Bishanga!
Na kwanini nyumba ndogo? Ridhika na ulichonacho bana....subiri ukibambwa ndo utajua kwa nini punda alinyimwa pembe akapewa mlio!
Haki sawa aisee! Hakuna mipaka wala mistari hapa!
kwa mwanamke mmeo is always perfect,hupashwi kuwa na sababu ya kutoka nje,na ole wako utoke kisha ubambwe,hapo utalijua jiji wallah!
Haki sawa aisee! Hakuna mipaka wala mistari hapa!
Ubaya wa Boss ni kwamba ana wake watatu... woote walikua wake za watu.... Hivi nyumba ndogo mke wa mtu inaitwa nyumba ndogo pia?? lol
Ubaya wa Boss ni kwamba ana wake watatu... woote walikua wake za watu.... Hivi nyumba ndogo mke wa mtu inaitwa nyumba ndogo pia?? lol
Jikamatishe sasa uone atakachokufanya...mbona bado mwafanya siri?...simu mwisho sa mbili...lol... Uoga huo. Mnafanya vitu hamna uhuru navyo...kwani mke wangu akinikamata atanifanya nini?
nyumba ndogo ikiwa mke au mume wa tu haiitwi hivyo, inakua 'house b' manake huingii ukiwa umeinama. wote mna pete,u act married,hehehe! leo ni leo!
bishanga,tuliza munkari baba! ndo maana nimemuomba the boss atupe na sie rules! manake kama nyumba ndogo inamsaidia mwanaume kuleta amani nyumbani,lazma kuna njia ya mwanamke nae kuwa na amani nyumbani. kwani hii mikono nikiiweka kichwani itakatika? ikichoka nitaishusha,relax poti,lol
Sante mke mwenzangu. Mi pia nakupenda, najichekea kwa raha zangu nikisoma quote zako...ungejua nnavyokupenda! ngoja nichukue ungo wa kupepelea motto!
Sipendi nyumba ndogo lakini nimependa points za huu uzi. Zina harufu ya heshima kwa nyumba kubwa.
B' hebu msome one of my best Wifi hapa Chini..
Asante Wifi... itabidi tukae kikao cha wadada/mama woote wa Ukoo.... ili wasisikie nini tutajadili.... Kiongozi Wifi King!
nyumba ndogo mke wa mtu ni hawara,and zat is vere dengaras,mwambie Boss aache hizo la sivyo atakuja chunwa ngozi akiwa hai.
Lol...kweli mpendwa...kikao itabidi kwakweli...B' hebu msome one of my best Wifi hapa Chini..
Asante Wifi... itabidi tukae kikao cha wadada/mama woote wa Ukoo.... ili wasisikie nini tutajadili.... Kiongozi Wifi King!