The Emirate of Dubai siyo nchi na uhusiano wa kimataifa ni jambo la Muungano ila ina uwezo wa kuingia makubaliano ya kimataifa kwa mujibu wa Katiba

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,227
5,950
Mh. Madeleka ametumia ibara ya 120 ya katiba ya Umoja wa Falme za Kiarabu kujenga hoja kuwa The Emirate of Dubai siyo nchi na haina uwezo wa kuingia mikataba na nchi nyingine kwa sababu uhusiano wa kimataifa ni jambo la Muungano.

Kwa bahati mbaya sana Mh. Madeleka anapotosha. Ni kweli The Emirate of Dubai siyo nchi na masuala ya uhusiano wa kimataifa ni suala la muungano yaani Umoja wa Falme za Kiarabu. Katiba yao inasema falme zinaweza ingia mikataba ya kimataifa ilimradi:-

1. Iwe haIkizani na msimama wa UAE
2. Kabla ya makubaliano taarifa itolewe kwenye Muungano
2. Baada ya Makubaliano yapelekwe kwenye bunge la umoja kupata baraka
NANUKUU VIFUNGU HUSIKA

Article 123 As an exception to paragraph 1 of Article 120 concerning the exclusive jurisdiction of the Union in matters of foreign policy and international relations, the member Emirates of the Union may conclude limited agreements of a local and administrative nature with the neighbouring states or regions, save that such agreements are not inconsistent with the interests of the Union or with Union laws and provided that the Supreme Council of the Union is informed in advance.

If the Council objects to the conclusion of such agreements, it shall be obligatory to suspend the matter until the Union Court has ruled on that objection as early as possible. The Emirates may retain their membership in the OPEC organisation and the Organisation of Arab Petroleum Exporting Countries or may join them.

Article 124 Before the conclusion of any treaty or international agreement which may affect the status of any one of the Emirates, the competent Union authorities shall consult that Emirate in advance. In the event of a dispute, the matter shall be submitted to the Union Supreme Court for ruling.

Article 125 The Governments of the Emirates shall undertake the appropriate measures to implement the laws promulgated by the Union and the treaties and international agreements concluded by the Union, including the promulgation of the local laws, regulations, decisions and orders necessary for such implementation.

The Union authorities shall supervise the implementation by Emirate's Governments of the Union laws, decisions. treaties, agreements and Union judgements. The competent administrative and judicial authorities in the Emirates should forward to the Union authorities all possible assistance in this connection.

Inasikitisha kuwa mawakili wetu wanafanya scan reading kupata vifungu vya kupotosha watu badala ya kusoma kwa pamoja vifungu vyote ili kusaidia kuelewesha watu
 
Mkuu comte, nafikiri ni busara kwa jambo usilolijua au kuwa na uelewa nalo kubaki kimya. Hilo uliloliwekea vifungu ni jambo la kisheria. Unalijua au kuwa na uelewa nalo?

Ibara hiyo ya 123 ingetosha kukunyamazisha. It talks about agreements on local or administrative matters/nature with neigbouring states or regions.

Is Tanzania a neighboring state or region to Dubai Emirate? Ukipata jibu hapo ndipo unaendelea na taratibu za kufuata ili Emirati ya Dubai iingie mkataba/makubaliano badala ya UAE.
 
unafanya makosa yale yale ya scan reading na selfish interpretation. Do not literally define neighboring na ukisoma ibara zote kwa pamoja utaona the leading concept ni foreign relation matters.
Kama unadhani sijui na siyo mwanasheria au unadhani sheria ni exclusive knowledge unakosea sana.
Tuendelee kujadili hoja na tusitishane
 
😂😂😂 UVCCM kila mtu ni Mwanasheria aisee 😂
 
Mkuu comte, nafikiri ni busara kwa jambo usilolijua au kuwa na uelewa nalo kubaki kimya. Hilo uliloliwekea vifungu ni jambo la kisheria. Unalijua au kuwa na uelewa nalo?

Ibara hiyo ya 123 ingetosha kukunyamazisha. It talks about agreements on local or administrative matters/nature with neigbouring states or regions.

Is Tanzania a neighboring state or region to Dubai Emirate? Ukipata jibu hapo ndipo unaendelea na taratibu za kufuata ili Emirati ya Dubai iingie mkataba/makubaliano badala ya UAE.
Mkuu Petro E. Mselewa nimefuata ushauri wako ina kutafuta maana ya dhana neighborliness nimepata majibu yafuatayo:-
1. Dubai na Tanzania tunauganisha na maji ya bahari yaani ukitoka Tanznia na kuingia international water unaweza kufika Dubai bila kupita kwingine kokote
1689178315510.png
2. Soma chapicho hili litakusaidia
file:///C:/Users/DELL/Downloads/4215-Article%20Text-15500-1-10-20211220.pdf
 
Punguza dharau. Lissu na Nshala Wote wamewahi kuchaguliwa kuwa Marais wa TLS. Ina maana mawakili wanawaheshimu. Wewe kilaza usiyejua maana ya State under international law ndio unabwabwaja.
TLS iligeuzwa kuwa genge la CHADEMA labda hii ya mwaka huu ya Sungusia kidogo wanatumia busara ya sheria kuendesha mambo yao
 
Mkuu Petro E. Mselewa nimefuata ushauri wako ina kutafuta maana ya dhana neighborliness nimepata majibu yafuatayo:-
1. Dubai na Tanzania tunauganisha na maji ya bahari yaani ukitoka Tanznia na kuingia international water unaweza kufika Dubai bila kupita kwingine kokote
View attachment 26860692. Soma chapicho hili litakusaidia
file:///C:/Users/DELL/Downloads/4215-Article%20Text-15500-1-10-20211220.pdf
Ndugu comte, kwa vyovyote vile, na najua unajua, Tanzania si neighboring state or region to Dubai Emirate. Acha kujificha kwenye mambo yasiyo na mshiko.

Therefore, Dubai Emirate can not enjoy the exception provided under Article 123 of the UAE' s Constitution with regard to entering into international agreements.

DISCLAIMER: I did not read the full UAE's Constitution. I read and tried to interprete what you brought.
 
Mkuu Petro E. Mselewa, sheria ilivyo unaweza itumia vyovyote unavyotaka na ukafanikia kama utapita upeo wa wenzako. Wanzuo mmojawapo ni huyo aliendaika chapisho nililokuwekea usome, umeongelea dhana hiyo ya neighborliness in the context of international law- siyo kama wewe unavyoielewa na unataka watu waielewe. Hata kwa namna unavyoielewa , kwani kwa kutumia maji ya bahari haipakani na Dubai? Ili kukusaidia nimeweka hiyo ramani hapo, lakini kwa vile unataka ligi na siyo ligi ni ubigwa wa hiyo ligi, umekuja na hoja yako. Una msimamo wako ni sawa,na mie nina msimamao wangu. Ili tutotke hapo tutumie misimamo ya watu wengine ambao kwa maoni yao Tanzaniana Dubai ni neighbor state.
Mh. Madeleka alidhani amemaliza kwa kutumia ibara 120; angekuwa muungwana na mweledi angejua sheria zina claw back clauses ila kwa vile nia yake ni ubingwa kwa kupotosha aliamua kutofika huko.
Kwa upande wako nashukuru kuwa umekiri hujasoma katiba yote, umeamua kusimama na ibara ya 123 na kutafasri kwa namna unavyoona wewe.
Pengine ni busara kusoma ibara 120 kwa pamoja na ibara 123-124 nizazotoa exception. Aidha ukizingatioa matakwa ya sentensi .........save that such agreements are not inconsistent with the interests of the Union or with Union laws and provided that the Supreme Council of the Union is informed in advance.
Dubai kwa vyovyopte vili walitoa taarifa (provided that the Supreme Council of the Union is informed in advance.) ya kusaini IGA na walipata baraka za UNION
 
Mh. Madeleka ametumia ibara ya 120 ya katiba ya Umoja wa Falme za Kiarabu kujenga hoja kuwa The Emirate of Dubai siyo nchi na haina uwezo wa kuingia mikataba na nchi nyingine kwa sababu uhusiano wa kimataifa ni jambo la Muungano.

Kwa bahati mbaya sana Mh. Madeleka anapotosha. Ni kweli The Emirate of Dubai siyo nchi na masuala ya uhusiano wa kimataifa ni suala la muungano yaani Umoja wa Falme za Kiarabu. Katiba yao inasema falme zinaweza ingia mikataba ya kimataifa ilimradi:-

1. Iwe haIkizani na msimama wa UAE
2. Kabla ya makubaliano taarifa itolewe kwenye Muungano
2. Baada ya Makubaliano yapelekwe kwenye bunge la umoja kupata baraka
NANUKUU VIFUNGU HUSIKA

Article 123 As an exception to paragraph 1 of Article 120 concerning the exclusive jurisdiction of the Union in matters of foreign policy and international relations, the member Emirates of the Union may conclude limited agreements of a local and administrative nature with the neighbouring states or regions, save that such agreements are not inconsistent with the interests of the Union or with Union laws and provided that the Supreme Council of the Union is informed in advance.

If the Council objects to the conclusion of such agreements, it shall be obligatory to suspend the matter until the Union Court has ruled on that objection as early as possible. The Emirates may retain their membership in the OPEC organisation and the Organisation of Arab Petroleum Exporting Countries or may join them.

Article 124 Before the conclusion of any treaty or international agreement which may affect the status of any one of the Emirates, the competent Union authorities shall consult that Emirate in advance. In the event of a dispute, the matter shall be submitted to the Union Supreme Court for ruling.

Article 125 The Governments of the Emirates shall undertake the appropriate measures to implement the laws promulgated by the Union and the treaties and international agreements concluded by the Union, including the promulgation of the local laws, regulations, decisions and orders necessary for such implementation.

The Union authorities shall supervise the implementation by Emirate's Governments of the Union laws, decisions. treaties, agreements and Union judgements. The competent administrative and judicial authorities in the Emirates should forward to the Union authorities all possible assistance in this connection.

Inasikitisha kuwa mawakili wetu wanafanya scan reading kupata vifungu vya kupotosha watu badala ya kusoma kwa pamoja vifungu vyote ili kusaidia kuelewesha watu
Rudia tena kusoma Article 123 hasa .....limited agreements of a local and administrative nature with the neighbouring states or regions,....
Umekurupuka boob!
 
Rudia tena kusoma Article 123 hasa .....limited agreements of a local and administrative nature with the neighbouring states or regions,....
Umekurupuka boob!
Article 123 As an exception to paragraph 1 of Article 120 concerning the exclusive jurisdiction of the Union in matters of foreign policy and international relations, the member Emirates of the Union may conclude limited agreements of a local and administrative nature with the neighbouring states or regions, save that such agreements are not inconsistent with the interests of the Union or with Union laws and provided that the Supreme Council of the Union is informed in advance.
Nimesoma na kurudia kusoma siyo hii tu pia nimesoma pamoja na ibara ya 120. ukisoma utaona inahusu uhusiano wa kimataifa. IGA by nature is a policy meaning it is also administrative. Kwa hiyo nadhani niko sahihi.
 
Mleta mada, maswali yangu mawili tu kwako:

1. Dubai ni nchi ama siyo nchi?

2. Mkataba huu wa DP WORLD & TANZANIA, in nature, ni administrative ama ni business?

-Kaveli-
Article 123 As an exception to paragraph 1 of Article 120 concerning the exclusive jurisdiction of the Union in matters of foreign policy and international relations, the member Emirates of the Union may conclude limited agreements of a local and administrative nature with the neighbouring states or regions, save that such agreements are not inconsistent with the interests of the Union or with Union laws and provided that the Supreme Council of the Union is informed in advance.
Nimesoma na kurudia kusoma siyo hii tu pia nimesoma pamoja na ibara ya 120. ukisoma utaona inahusu uhusiano wa kimataifa. IGA by nature is a policy meaning it is also administrative. Kwa hiyo nadhani niko sahihi.
 
Article 123 As an exception to paragraph 1 of Article 120 concerning the exclusive jurisdiction of the Union in matters of foreign policy and international relations, the member Emirates of the Union may conclude limited agreements of a local and administrative nature with the neighbouring states or regions, save that such agreements are not inconsistent with the interests of the Union or with Union laws and provided that the Supreme Council of the Union is informed in advance.
Nimesoma na kurudia kusoma siyo hii tu pia nimesoma pamoja na ibara ya 120. ukisoma utaona inahusu uhusiano wa kimataifa. IGA by nature is a policy meaning it is also administrative. Kwa hiyo nadhani niko sahihi.

Kwa muktadha wako huo Unataka kutuaminisha kwamba hata USA nao ni majirani zetu?
 
Back
Top Bottom