Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,070
Mimi naomba mnisaidie maana naenda kazini asubuhi natoka home 6.30 kuelekea kibaruani, narudi home usiku 20:00 HRS na jumamosi nafika home 17:00 sasa hapo kama unavyoona swala la muda halipo ni Sunday tu ambayo natakiwa nipumzike home na familia. Inakuaje hapa?