The Best Time to Start your own Business?

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,914
575x270-panoramic_stop_watch_13988.jpg


Best Time to Start a business

Wakuuwatu wengi ukiwauliza Ndoto zao Ni kuanzisha Biashara, ni kuwa huru , ni kuachna na kazi na kuwa bosi mwenyewe,Na watu wengi kikwazo chao huwa ni pesa na si kitu kingine kile, Matji ndo huwaTatizo kuu,
Oktuache hayo, Hivi ni upi muda maalumu wa kuanzisha biashara yako? Wakuu hapakuna sababu za wakati mzuri wa kuanza Biashara yako


1. Ukiwa bado kijana

WakuuUjana ni hadhina na ujana ni mzuri sana na watu wengi wanaamini kwambawajasirimali wengi sana Duniani walio fanikiwa walianza wakiwa Vijana wa katiya Miaka 25 hadi 40, na mtakubalina na mimi kabisa, NA KUNA MTALAMU MMOJA WAMASWALA YA BLOGG ALIWAHI KUSEMA HIVI " entrepreneursare like pro basketball players. They peak at 25, by 30 they're usually done."
Sijawahikukutana na Mjasirimali anae sema lo! Na juta kuanza biashara ni kiwa bado kijana,WENGI WANATAMANI WANGEAZA ZAMANI SANA WANAJUTIA KUPOTEZA MUDA MWINGI SANAWAKIFANYA KAZI ZA WATU NA WAMEANZA BIASHARA WAKIWA NA MIAKA 50 NA KUENDELEA.


2. Ukiwa unateseka/kuhangaikaeneo la kazi

Maisha ni mafupisana kwa wewe kukaa kwenye Benchi na kuteseka,Je unaweza kunionyesha mtu alioko kazini na kutengeneza mabilioni ya pesana anaichukia kazi yake? Jibu ni hakuna wakuu, na watalamu wengi wa biasharawanasema wajasirimali wengi walio fanikiwa na wenye makampuni makubwawalianzisha kwanza uasi dhidi ya mabosi wao, Na zani hata ukisoma historia yaMichael Dell na Honda kuna ukweli.

Tumia usiku wako wa leo, wekend yko, Lunchi yako na kazalika kuform ideayako kwa ajiri ya Biashara yako na anza from the ground, na ukisha patakonfidense ya kutosha ruka juu zaidi, NINA UHAKIKA HAUTAANGALI NYUMA KAMWE,hata kama utakacho ambulia mwisho wa siku ni pesa kidogo

3. Ukiwa nje ya Kazi
Hamuna furaha kama kubadilika kutoka uliko kuwa ukifanya kazina kuja kuwa Bosi wako mwenyewe tuwe wakweli kwa hili everyone who islaid off should not start a business. But a layoff is a great catalyst ifyou're already thinking about making the move,

Watu wengi wanafukuzwa kazi, kuachiswa kazi, contact zaokuisha wamekuwa wakiishia kuchanganyakiwa, Mkuu chukulia Kufukuzwa kwakokazi/kuachishwa/contact kuisha kama shukurani pekee ya kukupa moto nakukuhamasisha kuanza biashara yako, weka kila kitu mezani, anza leo mkuu wangu


4. Ukiwa huna majukumu mengi,

Mkuu the more responsibility uliyo nayo the less likelyis that you will start a business
Nina marafiki wengi sana ambao walikuwa wanazungumzakuanzisha biashara na sasa ni takribani miaka mingi imepita bila vitendo namajukumu yakizidi kuwa makubwa kwao, na wengi wanahisi wamekwisha chelewatiyali,

Mkuu anza biashara yjao ukiwa bado huna majukumu mengi,Ukiwa bado na muda wa kutosha, nguvu yakutosha na uhuru wa kutosha.Usisubiri mpaka ukiwa umechelewa sana na wakati ukiwa na majukumu ya kulipapango la nyumba, Billi za umeme, maji, Ada za shule za watoto wako, matibabu yawatoto,Lakini ujijishushe kujifanya mdogo, mkuu ukianza biashara ukiwa na majukumumengi itakuleti down sana, mfano unaweza kuwa unatakiwa ukutane na marafiki wakibiashara saa nne za usiku, huku nyumbani wife au mme hatakuelewa kabisa,atakuona una mzunguka, mara nyingine wakati unapanga kusafiri kibiashara, mtotoataugua, wife ataugua au mme ataugua so inabidi uhairishe safari yako yakibiashara,Mwisho kama weweni single, umeolewa/umeoa but hujapata mtoto, au unafikiliakuoa na kuanzisha biashara na unamawazo ya kuwa mjasirimali hujachelewa fanyahivyo Usiku wa leo, wikendi hii, kabula hujaona umechelewa sana.

5. Wakati ukiwa Intrapreneur/mbunifu mfanya kazi

Wakuu nazani mtanielewa ninacho manisha hapa,Intrapreneur ni mtua ambaye ana act kama entrepreneur, ila tofauti hapa nikwama Intrapreneur huwa ameajiriwa na ni mfanyakazi huku entrepreneur ni mtualiye jiajiri
Wakuu ukiwa kama Intrapreneur/ukiwa umajiriwa na unafanyakazi inakuongezea chansi ya kufanikiwa kibiashara, pindi ukianza, Intrapreneurkatika organization ni mtu ambae ni very creative, mbunifu, mvumvuzi nakazalika, na ni mtu ambae anafanya vitu vipya katika organization,

So mkuu ukiwa hivyo ni wakati mwafaka wa kuanzisha biasharayako mwenyewe kwa sababu kuna orodha ya wajasirimali wengi sana ambao mwanzowalikuwa wafanya kazi na wabunifu naadae wakaona ni bora waanzishe biashara zaowenyewe, Mwanzilishi wa Peps alikuwa mbunifu sana akiwa cocacola, Honda alikuwaakifanya kazi kabla ya kuawa mjasirimali,

Hivyo ukiwa wewe ni mbunifu katika shirika fulani/kampunifulani ni wakati mwafaka wa kuwa mbunifu katika kampuni yako mwenyewe


6. Ukiwa tiyali na wazo lako zuri la biashara

Huu ni wakati mwafaka wa kuanza, pls go on, anza nakimoja kati mtaji na wazo, usisubirie upate mtaji, wakati ni sasa na si kesho,so usiku wa leo, wikendi hii angalia wazo lako linaanza vipi kufanya kazi


7. Ukiwa na mtaji wako
Ingawa hakuna mtaji maalumu wa kuanza biashara make wapowalio anza na sh 1000, wapo walioanza na sh 0 wappo walio anza na mabilioni ya sh,ila kama una mtaji wako tiyali ni wakati wa kuanza biashara yako, usisubirikesho, anza leo


8. Fanya hivyo leo hii

Unaweza jaribukupata muda mwafaka wa kuanza Biashara, Ukiwa mzee,ukiwa kijana, ukiwa tajiri,ikiwa masikini, ukiwa mnene, ukiwa mwembamba, ukiwa na nywele, ukiwa kipara.Ila kwa vyoyote vile utakavyo chagua hapo juu haitakufanya uwe katika nafasi yakushindwa au kufanikiwa,
Mjasirimali anakuja katikasize zote,

Shape zote, miaka yoyote, langi yoyote, Na amini usiamini nchi yetu Tanzaniahaina Monopoly katika kuazisha biashara, Biashara nyingi huanzishwa katika


So lets me make simple for you- The best time to start a business is TODAY,Not tomorrow, Not in two weaks. Not after you get promoted, pregnant, married,or your MBA, TODAY!

See that cliff in front of you that you're scared to go over? Run up to itonce again. But this time, actually jump. What you will find below is the lifeyou wanted to live and all you need to do is get over the fear that's keeping youback.


TODAY
 
Wakuu sory heading ina utata fulani ingawa mesage inaeleweka, nime waambia walekebishe heading,
 
Thanx kwa yote uliyoyatoa, kiukweli yamesimama...!!!
Mzee we ulishaanza yesterday...!!!!!????
Au ndo habari za kina braza men JAKAYA za kuhubiri uwadirifu wakati wao hawaujui hata unafanana vipi...!!!????
 
Thanx kwa yote uliyoyatoa, kiukweli yamesimama...!!!
Mzee we ulishaanza yesterday...!!!!!????
Au ndo habari za kina braza men JAKAYA za kuhubiri uwadirifu wakati wao hawaujui hata unafanana vipi...!!!????

mkuu umenifurahisha sana, sijaanza yestaday nimeanza today mkuu,
 
umenigusa sana sana, haya ngoja nianze fasta kuendeleza lile wazo langu
 
Thanks mkuu kwa hilo.
Lets start the move now

Ok mkuu Fanyia kazi halafu uje urudu humu kutujuza kama umefanikiwa au la na kama hujafanikiwa ni kwa nini hujafanikiwa kuanza, na kama umefanikiwa napo tuambie ulifanya fanya vipi ukaanza, so usipotee mazima
 
KOMANDOO ni juzi kama sijakosea au jana kuna mtu alileta uzi akidai anaishi mafinga na anauza mkaa pamoja na mabiasha mengi na akadai yeye ni mtumishi,ulieleza mambo ya msingi lakini watu hawakuelewa,mimi nikakili kabisa nondo zako huwa nazikubali.
nawaomba waje hapa wapitie hiyo nondo alafu wawe wawazi kwamba nondo hiyo inamanufaa kwao kwa asilimia ngap? KOMANDOO unatisha saruti!!
 
Last edited by a moderator:
Our system is very unfriendly to welcome this idea..unless upambane haswaaaaaaaaaaa
 
Our system is very unfriendly to welcome this idea..unless upambane haswaaaaaaaaaaa

Systeam ipi sio friendily mkuu? Mkuu Pamoja na nchi kama somalia kuwa na vita lakini kuna watu wanafanya baishara kule na wamefanikiwa,

Wakati wa Vita kuu ya pili ya Dunia, hali ilikuwa mbaya sana lakini still kuna wajasarimali walianzisha biashara wakati huo,

Si dhan kama kuna situatuion mbaya kama vita, mazingira ya kuanzisha biashara tanzania bado ni mazuri, kwani hao wanao anzisha kila kukicha wanafanya je?
 
Biashara ya kuchuuza kwa maana kununua na kuuza waweza anzisha muda wowote. Lakini biashara ya kutumia akili "Professional services" mbali na mtaji wa kipesa unahitaji "intellectual capital". Madhalani umehitimu shahada ya uchoraji "Architecture" kupata "intellectual capital" angalau basi ufanye kazi na mchoraji mzoefu na mwenye kazi nyingi wa muda wa miaka mitatu baada ya hapo unaweza na wewe kusimama peke yako. Halikadhalika kwa aliyehitimu "CPA" kuweza kusimama peke yake angalau afanye miaka isiyopungua mitano...nasema mitano kwa sababu ukiwa nafasi za chini bado huwezijua hata mteja anapatikanaje lakini ukifikia kiwango cha "Team Leader/Manager" unaweza kupata ujuzi wa kuondoka nao.
 
Back
Top Bottom