Eli Cohen JF-Expert Member Jun 19, 2023 1,318 4,046 Dec 11, 2023 #1 Hawa ni miongoni wa beki tatu bora waliowahi tokea duniani. Bila ya kujali ushabiki waorodheshe kuanzia alie kuwa bora zaidi ya mwenzake katika nyanja ya beki wa kushoto.
Hawa ni miongoni wa beki tatu bora waliowahi tokea duniani. Bila ya kujali ushabiki waorodheshe kuanzia alie kuwa bora zaidi ya mwenzake katika nyanja ya beki wa kushoto.
Shujaa Mwendazake JF-Expert Member Jul 11, 2015 3,796 6,411 Dec 11, 2023 #2 MARCELO yupo Daraja ya Juu ya Peke yake kuliko hao wote. Hao wawili wakadirie tu maana wanadhqbihiana uwezo. Am a Chelsea FAN.
MARCELO yupo Daraja ya Juu ya Peke yake kuliko hao wote. Hao wawili wakadirie tu maana wanadhqbihiana uwezo. Am a Chelsea FAN.
kimbendengu JF-Expert Member Jun 7, 2013 6,145 10,543 Dec 11, 2023 #4 kwangu Mimi sio hao ,1 yangu ni ROBERT CARLOS
Its Pancho JF-Expert Member Sep 21, 2018 14,303 22,787 Dec 11, 2023 #7 Marcelo yupo vizuri kushambulia kuliko kukaba. Cole hiyo mashine inakaba mpaka kivuli
Alexander Lukashenko JF-Expert Member Sep 9, 2017 4,102 9,533 Dec 11, 2023 #8 Evra Cole Marcelo Why Evra? Naona kabalance Offensive na defensive. Daraja lingine mnamaanisha nini?