Thanks God, Its Friday.... Naweka shida pembeni, Furaha Juuu

Thanks God ngoja nijongee counter nipate sip

Leo nasahau shida za umeme, maji, mafuta, MMU, kila kitu
nafunguka kama Luis Suarez anavyowafungua mabeki
Natesa kama simba alivyomfyonza kandambili

IJUMAA TAMU HII NIWAHI KUCHOMA NYAMA
Kama kawaida yangu counter ya juu ndo pangu!
Dada wa counter akinimiminia nalewa kabla sijanywa...!
Ngoja niwai kabla masela hawajawai viti, maana tupo wengi ati!
 
wkend hii naend kumalizia kuvuna mahindi yangu shambani na kuyasomba kuyaleta home..na baada ya hapo ntaenda kumalizia kuchimba bwawa la kufugia samaki wangu ili niwahamishie huko na mda ukiruhusu naenda kuweka fireline kwenye shamba langu la miti.....jpili naenda church na baada ya hapo napumzika na mwanangu home huku nikiedit kitabu changu...... hii ndo ratiba nzima ya wkend hii
hEBU ACHA UTANI BHANA

MAHINDI NA RED LABEL WAPI NA WAPI?? HIYO KAZI ANZA JUMATATU
 
Hivi sasa ni saa ngapi? Damn..... thirty minutes ntakuwa nshaumaliza huu uchafu.... Kama si JF ningekuwa nshaumaliza saa nyingi..... Hii addiction mbaya sana.....inanichelewesha kupareeee
 
Kama kawaida yangu counter ya juu ndo pangu!
Dada wa counter akinimiminia nalewa kabla sijanywa...!
Ngoja niwai kabla masela hawajawai viti, maana tupo wengi ati!
leo hakuna kukaa

nimemtuma chauro alete cha marangu preta ataleta cha arusha
 
Hivi sasa ni saa ngapi? Damn..... thirty minutes ntakuwa nshaumaliza huu uchafu.... Kama si JF ningekuwa nshaumaliza saa nyingi..... Hii addiction mbaya sana.....inanichelewesha kupareeee
ahaaaaaaa

JF is medicine for my pain

Tartiiiibu halafu namalizia chamber

CLOUDS WANAPIGA NGOMA SAHIHI KABISA

PASS THE couvarsier (sp)... Busta and Jammie Fox
 
babu kesi ya kule hatujamaliza ushaibuka na huku ...........

Hivi sasa ni saa ngapi? Damn..... thirty minutes ntakuwa nshaumaliza huu uchafu.... Kama si JF ningekuwa nshaumaliza saa nyingi..... Hii addiction mbaya sana.....inanichelewesha kupareeee
 
Dah,...usisahau helmet kamanda. Dont Drink and drive, haiwahusu waendesha pikipiki, baiskeli na twendao kwa miguu.

Mie nimetokea masjid mida hii tukiutafuta usiku wa ,laylatul Qadr...mw'mungu anipunguzie na kuyaswamehe niloyatanguliza...Amen.

Kesho imarati na suarez, duhhh...haya bana.
 
Finally,

Ijumaa hiyooo inaishia,
nimemiss saana good time
nimemiss happy people
nimemiss happy hour

heading for a drink now
nina hamu sana ya Red Label na mishkaki
nikipata na barafu na coke si mbaya sana
nina kiu ya starehe leo, kiu haswaa

Thanks God ngoja nijongee counter nipate sip

Leo nasahau shida za umeme, maji, mafuta, MMU, kila kitu
nafunguka kama Luis Suarez anavyowafungua mabeki
Natesa kama simba alivyomfyonza kandambili

IJUMAA TAMU HII NIWAHI KUCHOMA NYAMA

Kweli Ijumaa ya leo full shamrashamra, alafu namuona mkoloni kwa mbali anakuja na mafaili dah hivi haoni ni saa ngapi.
 
...karibu na huku kwetu upate Taste kama hiziii

Nelly-Kamwelu-3.jpg

Nelly-Kamwelu-4.jpg

Nelly-Kamwelu-5.jpg
 
Kivumah.............. nyambaff

Nimesema nataka whiskey we sasa unaniletea mihemuko saa hizi

unataka niharibu home nini??
 
Back
Top Bottom