Thanks God, Its Friday.... Naweka shida pembeni, Furaha Juuu

...karibu na huku kwetu upate Taste kama hiziii

Nelly-Kamwelu-3.jpg


Nelly-Kamwelu-4.jpg

Nelly-Kamwelu-5.jpg

Wait a minute............... :twitch:
Aisee.................:drama:

Yalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa...:A S 20:
 
ahaaaaaaa

JF is medicine for my pain

Tartiiiibu halafu namalizia chamber

CLOUDS WANAPIGA NGOMA SAHIHI KABISA

PASS THE couvarsier (sp)... Busta and Jammie Fox
Mate hebu tuliza mzuka aisee........ Kazi za watu hizi ndo zinaniweka mjini bana.... dah!
 
All good mazee....almradi uweke shida pembeni....
Nachompendeaga chalii wa magogoni ndo hiki tu.....vinywaji havijaadimika kama mafuta....

hiyo idea mkuu... ila wakileta bodi tu ya kuregyuleti tungiz utasikia kabbbaaaam, kwisha!!
 
haina majotro chai'angu!!!

haina kusanda na njereee mkuu
 
wkend hii naend kumalizia kuvuna mahindi yangu shambani na kuyasomba kuyaleta home..na baada ya hapo ntaenda kumalizia kuchimba bwawa la kufugia samaki wangu ili niwahamishie huko na mda ukiruhusu naenda kuweka fireline kwenye shamba langu la miti.....jpili naenda church na baada ya hapo napumzika na mwanangu home huku nikiedit kitabu changu...... hii ndo ratiba nzima ya wkend hii
<br />
<br />
Huh! Edson utazeeka kabla ya muda,hii ratiba ni taiti!
 
All good mazee....almradi uweke shida pembeni....
Nachompendeaga chalii wa magogoni ndo hiki tu.....vinywaji havijaadimika kama mafuta....
With this.......I love Dr. JMK

hiyo idea mkuu... ila wakileta bodi tu ya kuregyuleti tungiz utasikia kabbbaaaam, kwisha!!
OMG!.......God Forbid!
 
Kivumah.............. nyambaff

Nimesema nataka whiskey we sasa unaniletea mihemuko saa hizi

unataka niharibu home nini??
..bwa hhaa hhaa. Safari moja huanzisha nyingine kivingine.
Ngoja nikulete Jack Daniels.
 
..bwa hhaa hhaa. Safari moja huanzisha nyingine kivingine.
Ngoja nikulete Jack Daniels.

swadaktaaaaaaaaaaaaaaaaaa

sasa utamu wa hii kitu ni kupata na mishkaki, baadae unacheki mataa ukiangalia masaburi yanavyozungusha dushelele... balaa
 
Back
Top Bottom