Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 23,517
- 36,885
Nafasi ya pili inavita kubwa sana 😀
hao ndo nyuma mwiko akili kisodaMbona ya Kagera sugar husemi? Vipi umelia sana had kamasi au machozi kukaukaa?
Afu bado hujasemaaa!!!
Wahuni wa tiefiefu wamehamua wewe uwezi kubadilisha maamuzi.So ww unaamini kwa kumvuta jezi namna ile aziz ki akustahili hata kadi ya njano?
Hujui mpira au unajiendekeza ama unafanya makusudi!?Ya mwamuzi kumpa mchezaji wa coastal Union red card uliita hii bodi?
Ubingwa unao,lakini bado unateseka kiasi hili?!! Hizi roho za kichawi ni za ajabu sanaKuna mikakati maalumu (kabambe) imeeandaliwa ili lastborn Simba SC ashike nafasi ya pili Hilo lipo wapi.
Goli walilofunga Tabora united na kudhurumiwa goli HIZO ni Juhudi za wazi kabisa kuwa Simba SC wametengenezewa mazingira ya kushika nafasi ya pili ili Azam FC ashike nafasi ya tatu
TFF na Bodi ya Ligi mnapaswa kutenda haki na siyo kuzungumza huku mpo nyuma ya pazia kuhakikisha timu YENU Pendwa kushika nafasi ya pili
kila nikikumbuka simba amewahi kuwa na viporo 9 huwa naona ligi yetu ya ajabu sanaWana Simba tusimame na timu yetu mi nawaambia mkiwafata Yanga na propaganda zao timu itawashinda..
Huu huu wanaouita uonevu wao wameafanyiwa favour na marefa mara nyingi zaidi yetu..
kweli mkuu usajili wa simba ni mzuri kuliko yanga ila yanga wachawi sana hadi CAF amewahi wapiga faini kwa sababu ya uloziHii yanga IPO hapo sio kwa sababu ya uwezo bali ni siasa,fitna za nje ya uwanja,uchawi na makafara ya ng'ombe na watu,na siasa kwa kiwango cha juu mno.
Tena mimi sitishwi kabisa na mchezaji wao yeyote maana ni nguvu za majini tu.
Alikuwa anayabeba Mudahir lakini sasa amekabidhiwa Aziz Ki
Bado timu ni tia maji tia maji
Refa alipitiwa pia kuwanyima goli halali Kagera na pia kukubali goli la Max dhidi ya Ihefu, pia alipitiwa kuwapa kadi nyekundu Zabona Mayombya na Lameck Lawi ambazo zilifutwa5imba huwaga hawanunuagi mechi maboko mengi ya marefa kwenye mechi zao,huwaga ya kibinadamu tuseme tu refa kapitiwa.
Lete ushahidi hapa kuwa Simba amewahi kupigwa faini na CAF kwa sababu ya ulozi, ukileta mie najitoa JFkweli mkuu usajili wa simba ni mzuri kuliko yanga ila yanga wachawi sana hadi CAF amewahi wapiga faini kwa sababu ya ulozi
Shida timu lenu bovu aisee...Wana Simba tusimame na timu yetu mi nawaambia mkiwafata Yanga na propaganda zao timu itawashinda..
Huu huu wanaouita uonevu wao wameafanyiwa favour na marefa mara nyingi zaidi yetu..
Lete ushahidi hapa kuwa Simba amewahi kupigwa faini na CAF kwa sababu ya ulozi, ukileta mie najitoa JF
mh! mbona unaisema yanga kwani jana mlicheza na yanga ...?Wana Simba tusimame na timu yetu mi nawaambia mkiwafata Yanga na propaganda zao timu itawashinda..
Huu huu wanaouita uonevu wao wameafanyiwa favour na marefa mara nyingi zaidi yetu..
Wanaosimamia hizo sheria wameiondoa sasaHujui mpira au unajiendekeza ama unafanya makusudi!?
We huoni kama ile ni redcard ya halali!?
Au hukuona kuwa yule beki alimvuta shati Azizi Ki yeye akiwa kama beki wa mwisho!?
Kama hujui sheria sema tukufundishe.
Sasa alipewa yellow?So ww unaamini kwa kumvuta jezi namna ile aziz ki akustahili hata kadi ya njano?
Hii haijakaa sawa.Wanaosimamia hizo sheria wameiondoa sasa
na Yanga nao wamo katika kuipigania ndio maana wanaitetea Tabora UnitedNafasi ya pili inavita kubwa sana 😀
Waliokerwa humu na wanaotoa mapovu ni Tabora au nyie vyura?mh! mbona unaisema yanga kwani jana mlicheza na yanga ...?