Tff mnatupeleka wapi?

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,681
1,698
Wengi tunajiuliza TFF kwa nini HAICHUKULII hatua klabu ya Yanga kwa kuvunja kipengere rahisi mno cha mkataba wa mdhamini wa ligi cha timu kutokuvaa LOGO ya mdhamini hatua zipi zichukuliwe.
Juzijuzi tu Africa Lion walipata joto toka kwa watawala wa TFF mpaka kikaeleweka, lakini niwaonapo watawala hawa wa TFF wanapozungumzia suala la klabu ya Yanga kuvunja sheria wanakuwa kama wamemwagiwa maji ya baridi sasa TFF watueleze hapa chini pana timu nyingine zipo juu ya SHERIA???????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom