Bwana Mapesa
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,551
- 1,777
Ukiangalia jinsi TFF ya Tenga na wenzake inavyoendeshwa utakubaliana na kichwa cha thread hii.kwa takriban wiki 2 zilizopita kumekuwa na matukio ya kusikitisha ambayo yanalichimbia kabur soka letu. juzI wametangaza kuongeza usajili..lakin imegundulika wamefanya hvyo sababu Yanga hawajamaliza vurugu zao...
Yanga wamekwenda mbali zaidi mpaka kumshawish mchezaj aliyekuwa tayar amesajiliwa na simba na imeshatangazwa.kana kwamba hyo haitoshi kuna habar ambazo sio sir hapa mjin kwamba kuna viongoz wa Yanga wamemfuata okwi na Ngassa kuwashawish kuikacha simba na kuamia Yanga kitendo ambacho hakikubalik kwenye mchezo wa soka.
TENGA UPO WAPI?au bado unavaa boxer ya rangi ya njano?sasa hili ni wazo tuu.kama mmelala muamke mjue fika kwamba hizi timu za Simba na Yanga zinawatu ambao wanaweza kufanya chochote hata kupoteza uhai wa mtu linapokuja suala la timu zao..mnakumbuka ni juz tuu Nchunga aliikimbia famili,mke akawa anaishi kama digidigi.TENGA NA WENZAKO MNAYATAFTA YA NCHUNGA..stay Warned!