Tetesi Kwa Walimu Kuongezwa Mishahara

BUMIJA

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
5,818
11,001
Kuna Tetesi Kua Mishahara Ya Walimu Itaongezwa Mwezi Huu Na JK.Je Wadau Kuna Ukweli??
 
mkuu ni ukweli maana kabla hajasema anafurahi magufuli kuikosoa serikali aliongelea swala la waalimu maana kuna tetesi zimemfikia walimu wanamuunga mkono mgombea mwenye vipaumbele vya elimu hivyo mwezi huu au ujao tegemeeni mvua ya baraka
 
sipendaki mtu ambaye anapenda kujadili tetesi za mambo ya mshahara halafu ni mwisho wa mwezi!! ukisubiri siku hizi chache ili ujue ukweli uepuke majungu utapungia kilo ngapi?? hii ni simple tu leo tarehe ngapi hadi uumize kichwa usiaubiri
 
Duh Itakua Burdan
 
Wanadai Kama Kuna Marekebisho Utachelewa Hadi Tar30
 
sawa hata kama utakuja tar 1 oct ni siku chache sana ambazo zinahitaji mtu kutulia tu na tuone walichofanya sio kuanza jadili uvumi!! wanaweza chelewesha pia kwakukosa hela
 
Kwa Hiyo Wakikosa Hamlipwi Mshahara Tena.Si Mtagoma Sasa
 
  • Thanks
Reactions: nku
Nawashauri walimu hata kama wakiongeza wasiwachague coz watakuwa wamewanunueni ndugu zangu.
 
vyovyote iwavyo,nimeshaamua kura n ukawa,mtoto mdogo umdanganyie pipi,na hata watu wazma kama sisi pia?,no,lowasa kwanza
 
Nasema hivi walimu msirudi nyuma,tunajua maamuzi yenu ni kura kwa ukawa tu hata kama wanataka kuwalaghai.Mabadiliko kwnz
 
Back
Top Bottom