Tetesi: Eti hatuko naye tena?

EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,483
15,308
Eti Mume wa yule mama aliyewaita watu nyumbani kwake kuchukua video live (ziko youtube) za kumfumania mumewe na kimada amefariki dunia? Katika hizo video mama huyo alisema kuwa pamoja na kumfumania na kimada ndani ya nyumba ya ndoa, hataweza kumwacha mumewe.
 
Habari ya tangu wiki iliyopita hiyo nadhani!Labda kumnanga sana kulimpa baba wa watu presha au waliendeana BwAGAMOYO!RIP....
 
BWAGAMOYO kufanya nini na mikono na sumu zipo Lizzy? ndo maana naogopa sana roho za wanawake wanaoteseka na kujidai wanavumilia....wanalolipanga ajua Mungu.......RIP
 
Alikuwa anaumwa ini wala hajafanyiwa baya lolote RIP Majid na makumbusho
 
BWAGAMOYO kufanya nini na mikono na sumu zipo Lizzy? ndo maana naogopa sana roho za wanawake wanaoteseka na kujidai wanavumilia....wanalolipanga ajua Mungu.......RIP
Mbaya kweli...usiku akilala unamwekea mikono shingomi alafu unarudisha..siku nyingine unamshikia kisu alafu ukishtuka unaanza kulia!Wengine hua wanabaki kuwakomoa nyumba ndogo ila sio kama mioyo yao iko pale!Wanaume kuweni waangalifu...
 
Yatosha tu kusema ni ukomo wa safari yake ulifika ila kwa namna ambayo haikua nzuri tu machoni pa waungwana bt RIP anyway!
 
sote hatujui,ajua Mungu aonaye sirini....em soma vitu vinavyosababisha liver failure....!!!
Nawajua sana sana kabla ya matatizo alikuwa anaumwa tayari na alikuwa yupo kwenye treatment mkewe Dr alimwambia aache mapombe makali na sigara akasema bora tu aendelee kuumwa. Msumbufu sana yule baba we acha tu kadri ungejua yule mama alivyokuwa anteseka nae ungesikia huruma. Pale kwenye ile video si uliona mkono umefunikwa wa yule Salma? ni umevunjika
 
Aisee. Mungu ampe ujasiri bi Salma aweze kulea watoto wao vema. From the video I could tell the woman was frustrated. Japo mi sijasoma saikolojia, yule mama si kuwa alikuwa anashadadia mumewe kufumaniwa ila alikuwa amechanganyikiwa. Pale tunamwona anacheka kujifariji, watu wakiondoka akibaki peke yake anaangua kilio. Haya mambo nyie acheni tu!
 
Mbaya kweli...usiku akilala unamwekea mikono shingomi alafu unarudisha..siku nyingine unamshikia kisu alafu ukishtuka unaanza kulia!Wengine hua wanabaki kuwakomoa nyumba ndogo ila sio kama mioyo yao iko pale!Wanaume kuweni waangalifu...

Lizzy hapo sijakuelewa, fafanua (kama hutajali). Wanaume wawe makini na wake zao au nyumba ndogo?
 
Kwanza nyumba ndogo ila wakishindwa kabisa kubehave wakalikoroga wawe waangalifu na wake zao baada ya madudu yao kujulikana!Badala ya kufurahia wakipretind kila kitu kiko sawa wakati sio wawasaidie na kuwaruhusu kutoa hasira zao kwa uwazi zaidi!Mtu anaelia ndani na kucheka nje ni hatari sana maana atakapokuja kuchukua hatua hata mwenyewe hatajua mpaka baadae!
 
Nawajua sana sana kabla ya matatizo alikuwa anaumwa tayari na alikuwa yupo kwenye treatment mkewe Dr alimwambia aache mapombe makali na sigara akasema bora tu aendelee kuumwa. Msumbufu sana yule baba we acha tu kadri ungejua yule mama alivyokuwa anteseka nae ungesikia huruma. Pale kwenye ile video si uliona mkono umefunikwa wa yule Salma? ni umevunjika

Hakuna kitu kama unawajua sana....unlesss wewe ndo mama uliyemfumania mumeo na camera....kuna maswali yabidi ujiulize....huyo baba kaanza ku-cheat lini? kama alijua mumewe yu mgonjwa kwa nini afanye vituko vyote vile? kwanini ang'anga'anie na aseme kwa ujasiri sana kuwa yeye pale haondoki....na akazungumzia mali za mumewe na jinsi asivyoweza ziacha?mbwembwe zote zile zaweza kuwa zilikuwa kwa ajili ya ku-justify aliyoisha yafanya....manake kuna sumu za kuua taratibu si kila sumu inaua hapo kwa hapo....nyingine zachukua hata miaka,zinaanza figo,maini then mengineyo....nina mashaka sana...yale maandalizi ya fumanizi yanaleta maswali
If only walls could talk....
 
Mbaya kweli...usiku akilala unamwekea mikono shingomi alafu unarudisha..siku nyingine unamshikia kisu alafu ukishtuka unaanza kulia!Wengine hua wanabaki kuwakomoa nyumba ndogo ila sio kama mioyo yao iko pale!Wanaume kuweni waangalifu...
akili za wamama wa mjini zinaeleweka kabisa....watu wanang'ang'ania yakiwashinda wanafanya makubwa.....that drama was too much!
 
Back
Top Bottom