Tetesi: Eti hatuko naye tena?

kuna wanawake wengine hata kuwaelezea inakuwa ngumu sana
sasa sijui kafurahia kifo cha mmewe?:shut-mouth:

Hakuna neno Kaizer....wewe tu ukiwa tayari niambie...l.o.l:playball:

thanks..habari za tangu Easter lakini mpenzi?:A S-heart-2: mambo yalikuwa sawa...hope hakukuwa na scene ya waandishi wa habari...lol

apo kwen bold kuna hommie wangu hapa anajinadi kama babu mkaguaji, akipaona najua lazima tu roho imuume.....:-*

kuna wanawake wengine hata kuwaelezea inakuwa ngumu sana

sasa sijui kafurahia kifo cha mmewe?

fl1,kuna msiba nilikutana nao mahali nikimchukua mtu,mjane kaweka pozi la kukomeshea kama kakwaa taji la umiss bila kutarajia.nikamuuliza mwenyeji wangu kulikoni,akasema shosti alikuwa safarini akaitwa mume kafia gesti hausi hapa hapa mjini.unashindwa kumuelewa kama kafurahia kuumbuka kwa mumewe(sijui historia yao) ama vp?

hahaha hizi ndoa zina ammbo jamani.....R.I.P. majid

na kweli!manake bibie alikuwa kajikwatua,nadhani alihisi mgombea mwenza yupo kwenye audience.iliyobaki ni mtu kuamini mtima wake.

kazi kweli kweli vifo na misiba ya siku hizi....hata mimi nimeona....msiba utafikiti mtu yuko kwenye harusi ya mjukuu wa malkia na hapo kafiwa na mumewe....nakubaliana na wewe...iliyobaki ni kila mtu kuamini mtima wake.

thanks..habari za tangu Easter lakini mpenzi?:A S-heart-2: mambo yalikuwa sawa...hope hakukuwa na scene ya waandishi wa habari...lol

apo kwen bold kuna hommie wangu hapa anajinadi kama babu mkaguaji, akipaona najua lazima tu roho imuume.....:-*

Za tangu Easter nzuri mpenzi:A S-heart-2: mambo yalikuwa sawa siunajua single ladies hatuna pressure?? waandishi walikuja kunihoji jinsi pasaka ilibyokwenda...l.o.l....yule babu kashanitupilia mbali,usimuhofie...!

Back
Top Bottom