Tetesi : CHENGE ANYWA SUMU??!

Status
Not open for further replies.
Binti wa chenge anaingiaje kwenye suala hili? hii inaonyesha jinsi watanzania wengine walivyo na fikra mbovu. Unataka binti awe rahisi ili iweje? wewe tafuta masiha mshikaji acha masuala ya ngono mana huko ndiko unakoelekea. ukimwi utakuua kaka

mbona mkali hivyo..? simba na ukali wake alipewa kikombe cha chai akanywa (kulikuwa na picha hiyo pale maeneo ya Posta kwenye jengo fulani sikumbuki)...
 
Miaka 30ya utumishi sio michache we kufa tu na umaskini on pretence thatu will rather die poor kuliko kuwaibia watanzania. Sio kila mtu ni mwizi amka kaka acha kusingizia umaskini wako katika mafanikio ya wenzako
 
Mhhh,

Yale yale..!
 
Lets Stop This None Sense The Man Is Alive And Health Lets Discus Some Burning Issues Like Nailing Them Dis Mafisadi
 
mbona mkali hivyo..? simba na ukali wake alipewa kikombe cha chai akanywa (kulikuwa na picha hiyo pale maeneo ya Posta kwenye jengo fulani sikumbuki)...

Sasa hapa ulikuwa na hoja ipi mpaka useme hoja hujibiwa na hoja ndugu yangu, Swali ni kuwa binti wa chenge anaingiaje kwenye hili au huelewi maana mnaanza kuvuka mpaka zungumza ya chenge mwanae wala si sehemu ya mazungumzo haya au una kaagenda ka siri dhidi ya kabinti chenge
 
Miaka 30ya utumishi sio michache we kufa tu na umaskini on pretence thatu will rather die poor kuliko kuwaibia watanzania. Sio kila mtu ni mwizi amka kaka acha kusingizia umaskini wako katika mafanikio ya wenzako[/QUOTE

tafadhali waombe radhi watu wenye uzalendo na nci yao, kuna walimu wamefundisha zaidi ya hiyo miaka 30 lakini ni maskini mbaya, kuna wauguzi wamelitumikia taifa muda mrefu sana lakini bado maskini, kuna makarani, wanajeshi, n.k, walijitoa kwa taifa lakini bado ni maskini, kutokana na watu kutafuna mapesa kana kwamba wao tu ndo wanatakiwa waishi!!kwa hiyo wewe unawalaumu watumishi kama hawa si ndiyo watetee, lakini, i have a dream, soon and very soon, the silent majority will take action na sjui mtajificha wapi.

THE HIGHER YOU CLIMB THE FURTHER YOU FALL
 
Sasa hapa ulikuwa na hoja ipi mpaka useme hoja hujibiwa na hoja ndugu yangu, Swali ni kuwa binti wa chenge anaingiaje kwenye hili au huelewi maana mnaanza kuvuka mpaka zungumza ya chenge mwanae wala si sehemu ya mazungumzo haya au una kaagenda ka siri dhidi ya kabinti chenge

Huyu "ndugu" yako ndio aliyeingiza maswala ya mabinti

Mtasubiri anywe sumu mpaka kiama yu mzima kabisa. Wakati mwenzenu anawekeza kwenye vitega uchumi nyie mnawekeza kwa mabinti. All u can get from mabinti ni ukimwi au watoto, nothing more.

Lazima tujue maana mtaji wa lile duka unaweza ukawa umepatikana kwa hela za walipa kodi.
 
Mhhh,

Yale yale..!

Yapi hayo fanya kazi kaka. Soma na maandiko matakatifu wekeza maana hata kale kadogo kana manufaa. Tatizo letu ni kuwekeza kwenye vimwana kaka huko hakuna faida ndugu yangu. wenzenu wakiinuka mnadai mafisadi, mtaishia maneno tu badala ya kufanya kazi za maendeleo
 
Huyu "ndugu" yako ndio aliyeingiza maswala ya mabinti

Lazima tujue maana mtaji wa lile duka unaweza ukawa umepatikana kwa hela za walipa kodi.

Shida yetu ni kutotaka kufanya kazi maisha yakiwa magumu tunatafuta mchawi. poleni watanzania kama kweli hii ndio dhana. jakaya ana kazi
 
Hii thread ina watu zaidi ya 50 sasa wanaivinjari!Na mimi nikiwa mmojawapo!Why?Because bado hatuwezi kuamini GT anweza kutuyeyu!
 
long story made short ni kwamba there is no way mfanyakazi muadilifu wa serikali ya nchi iliyopo top ten ya umasikini zaidi duniani,akamiliki $1,ooo,ooo,un-attended!!that is just soo naive even to consider.

ameziiba hizo pesa,be it through RADA au through mikataba mingine.HE and ONLY himself knows the truth.

Guts za kuiba that much from such poor nation as TZ clearly state that the guy is not the SUICIDE type!!He is soo selfish that killing himself is unthinkable!!

UNLESS U tell me he has made a deal with the devil,to stay rich forever in the after life!
 
tunawajua kina kawawa, warioba nao walikuwa watumishi wa serikali kwa miaka mingi, hivi wenyewe walikuwa wakifanyia kazi serikali bure? mbona sio matajiri hata baada ya kustaafu?
 
Kuna watumishi ambao hata asilimia 1 ya pesa alonayo chenge kwenye account zake hawana na hawajawahi kuimiliki na hata ukijumlisha mshahara wake wote kipindi chote cha utumishi haufikii hiyo pesa.na hao watu wana mchango mkubwa sana kwenye taifa kuliko hata chenge, kwhiyo unapomtetea mtu usiwe tu shabiki, lazma utambue kuna family nyingi zinakosa huduma za msingi kwa sababu watu wanajichotea mipesa.
 
Shida yetu ni kutotaka kufanya kazi maisha yakiwa magumu tunatafuta mchawi. poleni watanzania kama kweli hii ndio dhana. jakaya ana kazi

I give up!!!
ugumu wa maisha unatokana na nini? Kuna hard working Tanzanians wanaamka alfajiri kila siku work hard wanalipa kodi guess what badala ya hiyo kodi kuleta maendeleo inaishia kwenye mifuko ya wachache...tukiulzia unasema hatutaki kufanya kazi? You have just insulted the hard working Tanzanians SHAME ON YOU!!!!
 
Sure nilivyoona ni post ya GT nikajua kuna ukweli. Nadhani inabidi yeye mwenyewe aje atuambie vinginevyo. Shy yupo wapi leo?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom