Tetesi : CHENGE ANYWA SUMU??!

Status
Not open for further replies.
Mtasubiri anywe sumu mpaka kiama yu mzima kabisa. Wakati mwenzenu anawekeza kwenye vitega uchumi nyie mnawekeza kwa mabinti. All u can get from mabinti ni ukimwi au watoto, nothing more.

Speaking of mabinti...mimi nilikuwa na mpango wa kiwekeza kwa yule binti yake....

Pundit, anaweza akawekewa...maana nasikia siku hizi watu hawaaminiani kabisa...
 
Ndiyo confirmed report ni kuwa Chenge ni mzima wa afya na anawatakia wabaya wake mara mbili ya wamtakiayo!... tuna kazi.

Ina maana sasa hii thread ihamie kwenye nyepesi?

Je Karamagi yake imeishia wapi sasa maana inaonekana leo huko bongo watu walikuwa kwenye april first - spree!
 
wivu ni kidonda kwasababu hamna ndio mwamtatikia mzee chenge mabaya? yupo hai na huyo mbumbavu anayesema kumwekezea mtoto wake wapi? hapendi walala hoi
 
Ngosha kazoea masamaki ya tilapia, sasa mnamlisha visamaki vyenu vya pwani...yeee mwanawane.
 
wivu ni kidonda kwasababu hamna ndio mwamtatikia mzee chenge mabaya? yupo hai na huyo mbumbavu anayesema kumwekezea mtoto wake wapi? hapendi walala hoi

Karibu...naona umekaa kama anon lakini kimekushinda umeamua kuregister ili ujibu...mimi ndio nimesema nilikuwa na mpango wa kuwekeza kwa binti yake...in other words nilikuwa pengine bado nina mpango wa kumtongoza binti yake got any problem with that...?
 
Angekuwa amewekwa rumande chini ya ulinzi mkali hili lisingetokea. Tuombeni mungu apone ili aseme ufisadi wote alioufanya yeye na akina Mkapa katika awamu ya tatu na alioufanya katika awamu ya nne. Inasemekana mkewe pia ana bank account nchi za nje.
 
Today, 02:17 PM
mwafrika wa kike
JF Senior & Premium Member Join Date: Wed Jul 2007
Posts: 4,091
Rep Power: 29

Thanks: 844
Thanked 1,949 Times in 1,103 Posts
Credits: 120,958

Re: breaking news: CHENGE ANYWA SUMU

--------------------------------------------------------------------------------

Habari zinazoingia zinatisha ila so far inaelekea zaidi kwenye matatizo mengine zaidi ya sumu! watch this space!

Baada ya hii ya Icadon nadhani ni vyema hii thread iende kwenye sehemu yake!

Wote wawili..Chenge na Karamagi..ni wazima....
 
Karibu...naona umekaa kama anon lakini kimekushinda umeamua kuregister ili ujibu...mimi ndio nimesema nilikuwa na mpango wa kuwekeza kwa binti yake...in other words nilikuwa pengine bado nina mpango wa kumtongoza binti yake got any problem with that...?

Yaani hapa imebidi nicheke tu!
 
Mtasubiri anywe sumu mpaka kiama yu mzima kabisa. Wakati mwenzenu anawekeza kwenye vitega uchumi nyie mnawekeza kwa mabinti. All u can get from mabinti ni ukimwi au watoto, nothing more.

Walionufaika kwa ufisadi utawajua tu. Kawekeza kwenye vitega uchumi kwa pesa aliyoipata kwa kuwafisadi Watanzania!?
 
Angekuwa amewekwa rumande chini ya ulinzi mkali hili lisingetokea. Tuombeni mungu apone ili aseme ufisadi wote alioufanya yeye na akina Mkapa katika awamu ya tatu na alioufanya katika awamu ya nne. Inasemekana mkewe pia ana bank account nchi za nje.

BAK,

Mkapa ana zamu yake na inakuja so fast kuliko alivyotegemea!
 
Angekuwa amewekwa rumande chini ya ulinzi mkali hili lisingetokea. Tuombeni mungu apone ili aseme ufisadi wote alioufanya yeye na akina Mkapa katika awamu ya tatu na alioufanya katika awamu ya nne. Inasemekana mkewe pia ana bank account nchi za nje.

Bubu yuko sloooow!
 
Si Uzushi Pundit Media Za Home Hadi Kesho Asubuhi,jamaa Inaonekana Kanyweshwa Yasemekana Alikuwa Akipata Supu Basi Jamaa Wakamchachandua.
 
Hivi watanzania mtaondokana lini na dhana ya umaskini? mnazusha maneno tu, mbona huyu jamaa yuko online nyie mnaosema kazima simu kulikoni? hivi mwanasheria wa havard anaweza kunywa sumu kweli? come on lets be realistic. Kujiuzulu sio mwisho wa ulimwengu ana mengi ya kufanya,watanzania amkeni acheni kupotoshwa kuwa sisi ni maskini si kweli kabisa pigeni vita umaskini. Hata maandiko matakatifu yanapiga vita umaskini
 
Lol this is funny....haya karibu jamvini!!! kwenye uanasheria wa Havard no comments.
 
Binti wa chenge anaingiaje kwenye suala hili? hii inaonyesha jinsi watanzania wengine walivyo na fikra mbovu. Unataka binti awe rahisi ili iweje? wewe tafuta masiha mshikaji acha masuala ya ngono mana huko ndiko unakoelekea. ukimwi utakuua kaka
 
..just coincidence ..namimi kuna tetesi za ajabu nimezipata...sijapenda kuandika ni nini..naamini atatokea mtu anaweza kuwa na taarifa za uhakika zaidi miongoni ,mwetu..

..ila kama ni hivyo ..hali inatisha..ndio maana namimi nimepost thread imeingia na hii pamoja ..nauliza..karamagi??..chenge??

leet habari bwana WE DARE TO TALK OPENLY HAPA bwan unaficha ficha nini, hebu lete mambo sisi tuunge dots mkuu
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom