Tension!

TENSION>> unaandika msg ya kimapenzi kwa hawara huku ukimponda mkeo ni mshamba hajui mapenzi kwa bahati mbaya unaituma kwa mkeo.
 
TENSION: Unajamba hadharani (kimya kimya) unafikiri ni normal kumbe unaendesha
 
Wewe ni taxi driver, umepakia abiria, umefika kituo alichotaka umshushe, ukicheki nyuma abiria kayeyuka>Tension.
 
Uko nje ya nyumba yako na rafiki zako huku unacheza na mtoto wako mchanga ukiwa umejifunga taulo ghafla unapomrusha juu hewani taulo inaanguka! T.E.N.S.I.O.N

Umepanga kwenda kujua wazazi wa dem wako na ukiwa safarini mzee anatema mate ya tumbaku ndani ya gari na unamtusi vilivyo kufika kwa kina dem wako unapata yuleyule mzee ndio babake! T.E.N.S.I.O.N
 
Umeazima CD isiyo na maandishi,unaiweka mbele ya mama na dada zako,loh kumbe ni CD ya ngono!,bonge la tension.
 
...we ni polisi, unapewa kazi ya kuua jambazi sugu kumbe ni baba yako..<tensioN>

....wewe ni kiongozi, kila unaemwongoza anakulaumu..{tensioN}

... We ni mwalimu, asubuhi unakuta picha ofisini ukiwa unafanya ngono na denti..{tensioN}
 
Mwanamke umefumaniwa live na mumeo ukivunja amri ya sita nje ya ndoa lakini mumeo anajifanya hana noma na wewe,anachukulia poa tu,hakupigi wala kukuuliza lolote kuhusu kosa lako.
 
Tension>>>unajisifu sana kwa rafiki zako kwamba mkeo ni mwaminifu kumbe kamaliza jamaa zako wote.
 
Ukiwa safarini ndani ya basi,umenunua vocha ya sh.10000,unaikwangua na ku-copy namba zake halafu unaitupa nje,unajaribu ku-send,unaambiwa namba ya vocha uliyoingiza haipo.Masikini kumbe uli-copy namba vibaya.>Tension!
 
wewe ni mwanafunzi, UMeamua kulala Hostel kwani umechoka sana mara unapigiwa simu lecturer katoa quiz
 
TENSION >>Umekaa siti moja na mrembo, safari ya dar - mwanza, mara tumbo la kuhara linakubana na dereva kakomaa na ligi hataki kusimama!
 
Back
Top Bottom