Tension!

Tension> Mpenzi wako anakwambia she cheated on you unamwambia hutaki kumuona tena, na kwa hasira unamwambia vile hata wewe ulicheat on her na sister wake kumbe she was joking (april fools)...
 
Nipale unapotangazia watu umeshinda bahati nasibu ya mamilioni, kumbe hukuskia vizuri kwenye tv, ubini ni mtu mwingine na namba moja ya cm haifanani.
Mama weee,nitapeleka wapi sura yangu.
 
TENSION>>Umefumaniwa guest house na mke wa bosi wako,unamwomba msamaha bosi,hakujibu kitu,anakuangalia tu halafu anarudisha macho kwenye screen ya computer yake,anaendelea na kazi.

Hii inaweza hata kuua
 
TENSION>>Ume-overtake lori,kabla hujalimaliza,mbele lori jingine linaibuka,ukijaribu breki zimekatika,kulia na kushoto kuna mwamba.
 
Tension> umelala usiku mara unaota unafanya mapenzi na mwanamke kuja kushtuka umejipigia bao!
 
Tension> Unachat na rafiki yako ofisini, unamwambia vile bosi wenu ni mnoko, mshamba na kwamba mmesha mpanga jina la "kajamba nani", kumbe ulikosea ukamtumia bosi mwenyewe!
 
TENSION>Umetoka out na wakwe zako na mkeo,halafu wakwe wanaagiza misosi na vinywaji vya bei kali mara tatu ya pesa uliyonayo mfukoni.
 
...tumbo linauma, umeva nguo nyeupe. Unaachia ushuzi na kumbe umejiharishia (tensioN)

....umelala na mkeo, mara unaota na kumtaja binti wa jirani yako.

....mpo wawili tu na mrembo mara harufu kali ya ushuzi inajitokeza
 
TENSION> uko ukweni mara unashikwa na tumbo la kuhara, safari za chooni kama 5 ndani ya dk 20.
 
Tension>umekaa meza moja ya chakula na demu unashindwa hata kumsemesha,aibu.nukta
 
...tumbo linauma, umeva nguo nyeupe. Unaachia ushuzi na kumbe umejiharishia (tensioN)

....umelala na mkeo, mara unaota na kumtaja binti wa jirani yako.

....mpo wawili tu na mrembo mara harufu kali ya ushuzi inajitokeza
Tension...
 
Umekaa sebuleni na wageni wa heshima,mara ghafla mwanao anatoka chumbani kwenu ameshika zana mliyoitumia jana usiku na wife huku ikiwa imejaa sperm za kutosha>Tension!
 
Wewe ni mwindaji,umemfyatulia risasi nyati dume halafu ukamchana sikio tu,huna risasi nyingine na hapo ni mbugani,hakuna hata mti mmoja>Tension!
 
...unalala nje ndoa, unavua nguo mbele ya mkeo kumbe umevaa ch*pi ya hawara. (tensioN)

...unafanya mtihani baada ya kumaliza unagundua umejitungia maswali. (tensioN)
 
Tension!umemfanyia mtu kwizi afu kumbe ye kaenda kuomba poo kwa lecturer kuwa hakuwepo klas
 
Back
Top Bottom