Tenses

Nadhani hii ipo kwenye Present perfect continuous tense. Ambapo inakuwa hivi
Pronoun/noun + have/has+ been+ verb+ing
Nadhan been+continuous ndo wanaandika BEING
Naona upo vizuri mkuu kwenye tenses

Hiyo ni present perfect continous tense.

Nimekumbuka Somo la Tense shule ya msingi na secondary form 1 &2
 
Naona upo vizuri mkuu kwenye tenses

Hiyo ni present perfect continous tense.

Nimekumbuka Somo la Tense shule ya msingi na secondary form 1 &2
Sawa mkuu!! enzi hizo kulikuwa na ticha wetu yeye alikuwa anatunga mtihani wa tenses tuuu ili watu tuelewe!!
 
Sawa mkuu!! enzi hizo kulikuwa na ticha wetu yeye alikuwa anatunga mtihani wa tenses tuuu ili watu tuelewe!!
Imekuwa ni experience nzuri sana kwa kweli.

Mimi nilibahatika kufundishwa na Walimu waliozaliwa na kukua wakiongea hiyo lugha, kwahiyo nina uelewa kidogo kwenye Tenses na grammar hasa writing skills
 
Nadhani hii ipo kwenye Present perfect continuous tense. Ambapo inakuwa hivi
Pronoun/noun + have/has+ been+ verb+ing
Nadhan been+continuous ndo wanaandika BEING
Unaweza kutengeneza sentensi mbili ili tuone muonekano wake?
 
1. That being the case, the matter shall be referred to the arbitrator.
2. Manchester City financial scandals are being investigated by English FA
On example.No 2. is where i often get confused! the sentense has not included ing? why?
 
Be-being-was/were-been.
Just like:
Eat-eating-ate-eaten.

Simple Future: He will be at home shortly.
Simple Past: He was at home.
He has been at home since yesterday.

Being inatumika sanasana kwenye passive voice.

Mfano: Juma is eating the mango.
The mango is being eaten by Juma.

mbali na ni nadra sana au si kawaida kutumia being katika active voice in present progressive tense kama main verb.
mfano:
"I am being a doctor" kama ilivyo kwa kitenzi "go" I am going home.
 
Our team has been improving after receiving financial support from the Ministry of Education.
 
On example.No 2. is where i often get confused! the sentense has not included ing? why?
Hii inaitwa passive voice ambapo unaanza na kitu kinachopokea kitendo. Kwa mfano hapa "Man U financial scandals" ndicho kinachochunguzwa na kiko katika wingi ndio maana just after them inafuata auxiliary verb "are" kuonesha wingi.

Man u financial scandals are being investigated.

The president is being sworn in.
Masanja was being interrogated by a police officer
You are being taught the uses of "being" in sentences.
 
Our team has been improving after received financial support from Ministry of Education.

Is my sentense correct?
Upo sawa maana tendo bado lipo kwenye mwendelezo halijakoma!!. Toka timu ipate msaada wa kifedha bado inaendelea kufanya vizuri, ,,
 
Back
Top Bottom