...was supporting Djok baada ya Nadal kumtesa sana Federer, lakini baada ya nadal kupotea kipindi kirefu sababu ya majeruhi,
we need sumone to challenge Djok again...
Djokovic amechoka maana mechi dhidi ya Murray ilikuwa 5 hrs na leo 5 hrs tena {10 hrs ndani ya siku 3} ila anajitahidi akibreak hii game ataweza kuwin Australia Open
Djokovic amechoka maana mechi dhidi ya Murray ilikuwa 5 hrs na leo 5 hrs tena {10 hrs ndani ya siku 3} ila anajitahidi akibreak hii game ataweza kuwin Australia Open
hapa lazima waende tie break
Nadal lost the mind battle again
mhhhh huyu djokovic msanii yaani kaweza ku breakmbu said:...Djok is a true champ,...aces zinamuokoa, change of tactics!
5/5 ...5th and final set....
Coookie said:lol Djokovic ana serve for the Australian Open
mhhhh huyu djokovic msanii yaani kaweza ku break