Tennis 2012

lol aa last the impossible imekuwa Possible. Dokovic bado anamtesa Nadal. katia mech zote hii mechi nadal hataisau.
 
Next gland slam ni 28th may - 10th June French Open, Roland Garros, Paris, France.
 
NADAL lost 7times sasa kwa huyu jamaa, ...there's no coming back...mind games?
we need a new challenger kabla ya Roland Garros na Wimbledon...!

Congrats team DJOKOVIC
 
NADAL lost 7times sasa kwa huyu jamaa, ...there's no coming back...mind games?
we need a new challenger kabla ya Roland Garros na Wimbledon...!

Congrats team DJOKOVIC

Mi nadhani Nadal kapoteza mechi kwa kupoteza focus ya mind games za novak akidhani kuwa jamaa kishachoka sana. Hii michezo ndio inayesha kuna mataifa makubwa kiuchumi, kijeshi, etc lakini kwenye michezo vipaji vipo kwenye mataifa ya kwaida.

Jana kwa Wadada mrusi naye kapelekeshwa na mberarus.
 
NADAL lost 7times sasa kwa huyu jamaa, ...there's no coming back...mind games?
we need a new challenger kabla ya Roland Garros na Wimbledon...!

Congrats team DJOKOVIC

Nilikuwa namuona my wife wake djokovic to be anashangili kwa kasi zaidi hata ya kocha.

980dad25ac2c9739030c446cf6de5664.jpg

Novak Djokovic outlasted Rafael Nadal 5-7 6-4 6-2 6-7 7-5 to claim his third Australian Open after the longest final in Grand Slam history at a sweltering Melbourne Park.
http://uk.eurosport.yahoo.com/te/profile/3153.html
With temperatures reaching well over 30 degrees at the outset of the match on Rod Laver Arena, it was Serbia's Djokovic who kept his cool in the key moments as he was broken first by Nadal in the final set only to break his opponent twice in an astonishing contest that ran for five hours and 53 minutes............. soma habari kamili

viunganisho Vya australian open
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom