Mkuu Chitambikwa!!
samahani kama nitaku-contradict,with all due respect, kutoka kwenye matakataka tunaweza kupata biogas na mbolea , unaweza kuniambia tunaweza kupata nini kutoka kwa Tendwa,i'm afraid nothing??? lol
Haya matatizo yote yataisha kama tutamchagua Lowassa. Chagua Lowassa, Chagua Mabadiliko.
Wakati wa vita ya Uganda Tendwa alikuwa mdogo, hapaswi kuzungumzia Idd Amin!
John Bill Tendwa aseme Nyerere aliuawa au hakuuawa, kwamba aliyesema hivyo alikuwa kinda ama vipi huu ni ufikiriaji TENGE! JBT ni mbobeaji katika sheria, anajua LOJIKI, ASITURUSHIE HOJA huyu! Akipenda aweza kukaa kimya kuliko kuja na hoja ambazo hazina mashiko!
huwezi kuwa taifa lenye maendeleo kama una watumishi aina ya Tendwa. Mhh jamani hii nchi inahitaji mtu jasiri atuvushe hapa tulipo.
Haya matatizo yote yataisha kama tutamchagua Lowassa. Chagua Lowassa, Chagua Mabadiliko.
Lowasa anataka kuja kuilinda timu yake ya ufisadi hana lolote. Wanajua 2016 wote tunanyonga