Kabisa aiseeNa rushwa pia lazima utoe
Mkuu kwa nini unapenda kutumia huu msemo kama Chriss Lukosi?KAZI ni kipimo cha utu
Kabisa, hela yako inakutesa mwenyewe.Ni kweli, yan uwe na cash nyingi isiyo na kazi, kwamba unaweza kaa miaka mitatu bila hio pesa,
Ila hizi habari za una M2 ukachukue tender ya ya M2, mwisho utashindwa hata pesa ya kufuatilia hela zako
Hizi tender zimekuwa kichefu chefu sana.Saiv wamekuja na mfumo wao mpya unaitwa nest
Yan ni utapeli juu ya utapeli unaomba tena umaambiwa usiweke kodi
Unapewa tenda dis month PLO inakuja next month
Unasapply vifaa dis week unakuja lipwa after 2 month
Af wanakela wanakwambia upeleke mzgo tare walokupangia na endapo utachelewa mzgo bas wanakata km 5% yapesa ila wao kwenye malipo unangoja ata miez sita na huna lakuwafanya
Changamoto kubwa sana. Yani hawa jamaa unaweza kufirisika huku unajiona aisee.Ni changamoto sana
Yupi huyo?Vipi unataka kumtetea mwanafilosofia?
Alafu hata hawajali jibu lao ni kuwa utalipwaChangamoto kubwa sana. Yani hawa jamaa unaweza kufirisika huku unajiona aisee.
Inahofisha sana na hivi ndio ni mngeni kwenye mfumo huo lakini iam awaiting the tender to be granted kwa subira kabisa.Kwenye ufanywaji wa kazi huwa wanataka kazi zao zikamilike kwa haraka, ila wao kwenye malipo ni changamoto kubwa sana.
Nawasilisha
Kabisa yaniMlolongo wa rushwa ni mrefu kuanzia tenda, kwenye kazi yenyewe na malipo. Kila kiumbe anaekuona mbele yake wakati wa kipindi cha mradi anategemea mego lake
Mambo ya kiduwanzi sanaAlafu hata hawajali jibu lao ni kuwa utalipwa
Huo mfumo kuna kipindi ulikuwa unasumbua sana ukiwa unafanya registration. Nilivyokumbuka kuna hela nawadai na wananipiga chenga, nikaacha kufanya registration.Inahofisha sana na hivi ndio ni mngeni kwenye mfumo huo lakini iam awaiting the tender to be granted kwa subira kabisa.
Pitia habari hiiYupi huyo?