Tenda za Serikali ni nzuri kwa kampuni zenye mitaji ya kutosha

Mech

Member
Nov 13, 2017
96
210
Habari,

Kiukweli tender za Serikali ni nzuri kwa kampuni zenye mitaji ya kutosha na sio kwa kampuni ambazo mitaji yao ni midogo.

Kwenye ufanywaji wa kazi huwa wanataka kazi zao zikamilike kwa haraka, ila wao kwenye malipo ni changamoto kubwa sana.

Nawasilisha
 
Saiv wamekuja na mfumo wao mpya unaitwa nest
Yan ni utapeli juu ya utapeli unaomba tena umaambiwa usiweke kodi
Unapewa tenda dis month PLO inakuja next month
Unasapply vifaa dis week unakuja lipwa after 2 month
Af wanakela wanakwambia upeleke mzgo tare walokupangia na endapo utachelewa mzgo bas wanakata km 5% yapesa ila wao kwenye malipo unangoja ata miez sita na huna lakuwafanya
 
Ni kweli, yan uwe na cash nyingi isiyo na kazi, kwamba unaweza kaa miaka mitatu bila hio pesa,
Ila hizi habari za una M2 ukachukue tender ya ya M2, mwisho utashindwa hata pesa ya kufuatilia hela zako
Kabisa, hela yako inakutesa mwenyewe.
 
Saiv wamekuja na mfumo wao mpya unaitwa nest
Yan ni utapeli juu ya utapeli unaomba tena umaambiwa usiweke kodi
Unapewa tenda dis month PLO inakuja next month
Unasapply vifaa dis week unakuja lipwa after 2 month
Af wanakela wanakwambia upeleke mzgo tare walokupangia na endapo utachelewa mzgo bas wanakata km 5% yapesa ila wao kwenye malipo unangoja ata miez sita na huna lakuwafanya
Hizi tender zimekuwa kichefu chefu sana.
 
Mlolongo wa rushwa ni mrefu kuanzia tenda, kwenye kazi yenyewe na malipo. Kila kiumbe anaekuona mbele yake wakati wa kipindi cha mradi anategemea mego lake
 
Kwenye ufanywaji wa kazi huwa wanataka kazi zao zikamilike kwa haraka, ila wao kwenye malipo ni changamoto kubwa sana.

Nawasilisha
Inahofisha sana na hivi ndio ni mngeni kwenye mfumo huo lakini iam awaiting the tender to be granted kwa subira kabisa.
 
Inahofisha sana na hivi ndio ni mngeni kwenye mfumo huo lakini iam awaiting the tender to be granted kwa subira kabisa.
Huo mfumo kuna kipindi ulikuwa unasumbua sana ukiwa unafanya registration. Nilivyokumbuka kuna hela nawadai na wananipiga chenga, nikaacha kufanya registration.
 
Back
Top Bottom